Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
OkNyie Arteta ndio kama mungu wenu, atakachosema ndio hicho hampingi. Siku akiwaomba kidoti amchelewi kumpa nyie misukule ya arteta.
OkNyie Arteta ndio kama mungu wenu, atakachosema ndio hicho hampingi. Siku akiwaomba kidoti amchelewi kumpa nyie misukule ya arteta.
Cha unga limited hahahahaNjioo huku Flano mwenzio huyo yuko huku anatusumbua. Kashakula cha Arachuga.
Shakhtar CEO Palkin this week held talks in London with more than one club over Mykhaylo Mudryk. He says of the talks it is Na wewe umepatani?Mechi za mazoez hizo. Nyie mmeshinda ya Acmilan mmepata nini?
"He's a total credit to them" 
️Arteta is impressed with the ongoing work done on Fabio Vieira by Miguel Molina. His physical & mental elements of the game have improved greatly since the WC break. Flano mwenzio huyo yuko huku anatusumbua njoo huku unaitwa fasta muweke sawa.Niwafungue tu akili, Arse88 ina kikosi kidhaifu sana hamuwez kubeba hat kikombe cha kahawa msimu huu. Mkitaka kuamini Angalien wachezaji wote wa Arse88 waliokua WC ni wawili tu ndio waliokua wanaanza kikosi ch kwanza kwnye timu zao.
Watu wako world cup nyie mmesharudi London..Arsenal Training London umejaa barafu aiseeView attachment 2444252




Flano mwenzio huyo yuko huku anatusumbua, fanza ukuje huku unaitwa fasta......Watu wako world cup nyie mmesharudi London..![]()
Flano mwenzio huyo yuko huku anatusumbua, fanza ukuje huku unaitwa fasta......


hizo ni nongwa zako tu Ulikamafu, ARVnew alichoongea ndio ukweli wenyewe. Unaona sasa Flano umeanza uongo, Macron alimpongeza Sofyan Amrabat tu....hizo ni nongwa zako tu Ulikamafu, ARVnew alichoongea ndio ukweli wenyewe.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Unaambiwa raisi wa ufaransa bwana Emanuel Macron ametuma ujumbe wa kuishukuru sana United kwa mchezaji wao Rafael Varane kuwavusha mpaka kufikia kwenye fainali za World Cup.
Hebu soma vizuri kwanza nilichoandika.Unaona sasa Flano umeanza uongo, Macron alimpongeza Sofyan Amrabat tu....
Sijui aisee.Hebu soma vizuri kwanza nilichoandika.
Nimezungumzia kushukuru sio kupongezwa.
Unajua maana ya kushukuru wewe?
Nyie matakataka arse8 na kakikosi kenu kiduchu mutashaini tu huu musimu uu. Mukipata majeruhi ndio mutajua hamujuiInasaidia vipi ChelKenge isiendelee kwenda mkianiView attachment 2442521
We mujamaa wewe una shombo.Nyie matakataka arse8 na kakikosi kenu kiduchu mutashaini tu huu musimu uu. Mukipata majeruhi ndio mutajua hamujui