Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna kitu hamjajifunza kwenye usajili.felix anaweza kutumika kuwarubuni wapinzani ili biashara ya mudrick ifanyike kwa utulivu.kwa nionavyo mimi usajili ni kama vita na kuna mbinu nyingi za kumuhadaaa adui
Sasa unamhadaa adui gani wakati wachezaji wote hao wawili kuna timu zaidi ya 3 zimeshapeleka offer zao kwa kila mchezaji.
Hapo mwenye kisu kikali ndie atakaekula nyama, kwa masikitiko makubwa kabisa katika hao wachezaji wawili hakuna hata mchezaji mmoja atakaekuja Emirates.
Nyie katafuteni kina Lokonga wengine wasiokua na competition kwenye timu kubwa.
 
Una maoni Gani baada ya experts wa kweli kwenye recruitment ya Arsenal kusema he's the perfect fit?
Nan alikubishia ? Tulikwambia huna chakuwapangia Bodi na Arteta wakimtaka mtu

Mbona husemi Kwanini ulidai Mudrky hafai ,na hao Expert ndio wamepitisha na ndio top Target
 
I said it kuwa Felix ndio perfect fit ila "experts" mkanishambulia eti Felix hawezi lolote na kwamba Hana namba kwenye mfumo wa Arsenal!!

Next time mpunguze emotions na ujuaji.
Punguza ujuaji, hakuna aliyekwambia Felix Ni mbovu, usi twist maneno, tulikwambia Mchezaji atakuja arsenal atakapokubaliwa na bench la ufundi sio matakwa ya mashabiki Kama wewe ,n.k

Ni wewe uliongoza humu kuponda kwanini wanamtaka Danilo na Mudrky

Tena ukamponda Sana Mudrky na Danilo

Sasa mudrky source Tier 1 zinasema Dili litakamilika January
 
Acha ujuaji Flano,huyu tulimkatalia na tutampinga kwa nguvu zote ,kutaka wachezaji wake ndio wasajiriwe huku wale anaowataka mwalimu kuwa Ni wabovu

Hakuna sehemu tulisema Felix mbovu,

Ila tulimwambia Felix anayemtaka kuja anaweza kumtaka na akaja akafeli vile vile


Muulize mbona aliongoza mashambulizi kumpinga Mudrky ambaye anaonekana ndio Top target na Dili lake linaweza kufanikiwa kuliko la Felix
 
Umekuwa chawa Siku hizi


Tutamshambulia yeyote anayeleta ujuaji

Muulize anajisikiaje Mudrky aliyekuwa anamponda Sana ,klabu ipo serious kumsajiri
 
Una maoni Gani baada ya experts wa kweli kwenye recruitment ya Arsenal kusema he's the perfect fit?
Kuna sehemu nilisema Felix hafai?

Unajizima data? Umesahau wewe ulikuwa unapinga na kumponda Sana huyu Mudrky?

Je una maoni gani Baada ya klabu kuzidi kutia nanga kuhakikisha inamsajiri?

Achaga ujuaji ,


Arsenal priority for January window is Mykhaylo Mudryk. No agreements but conversations happening & 21yo Shakhtar Donetsk winger keen. Sources say deal can be done for lower than €100m public valuation



@TheAthleticFC
 
Angepatikana Joao Felix dah angekua perfect fit kwa mfumo wa Arsenal anaweza LW/RW pia CAM/CF. Kuliko huyo Murdyk wa 70M ambaye hajawa proven kwenye ligi za ushindani.
Unajisikiaje usiyemtaka akija?

Sources with knowledge of the deal (Mudryk to Arsenal) think there is a good chance it will happen, though nothing is agreed at present. While Arsenal may have alternative possibilities, Mudryk is their focus.

David_Ornstein
 
Unajisikiaje watu ndio Kwanza wapo serious na kijana wa kiyukraine?


️Arsenal remain the leading club to sign Mudryk. The price will be less than the 100m euro tag but will be significant sum. All about finding agreement with Shaktar. Arsenal are into it and in contacts to get it done.

(@FabrizioRomano
via @podcastherewego )
 
Nan alikubishia ? Tulikwambia huna chakuwapangia Bodi na Arteta wakimtaka mtu

Mbona husemi Kwanini ulidai Mudrky hafai ,na hao Expert ndio wamepitisha na ndio top Target
Hapana ulisema wazi kuwa Hafit kwenye mpango wa Arteta na Hana namba na kwamba nimtafutie timu ya kucheza!!


That's why nakwambia maKocha huwa wapo flexible sio kwamba wanajua Kila kitu.

Nilisema pia humu kuwa Gabriel anahitaji cover mkanishambulia Hadi mkaanza nifundisha mambo ya combinations!! lakini mkawa wa kwanza kusupport Ndicka aje!!
 
Huyo Felix tafuta timu yako akacheze, wachezaji wangapi wazuri kuliko Huyo Felix , wameenda timu nzuri wanafeli sababu ya mifumo?

Huyo Felix ,World cup anafanya Nini Cha maana kuliko kina Saka?
Hii hapa post ukimponda Felix kwamba mfumo wa Arsenal atafeli!! Ndio nakuuliza unajiskiaje baada ya experts wa recruitment hapo Arsenal kusema ana fit?
 
Hii hapa post ukiniponda nilipo suggest kwamba we need to cover LCB ukadai sijui Mpira.

Cha kushangaza ukawa wa kwanza kusifia rumours za Ndicka kusajiliwa next summer!!

Ndio maana nilikwambia Muda ndio huwa mwalimu mzuri.
 
Una maoni Gani kwa Sasa mkuu? Au tumeanza kuelewana juu ya Felix?
 
Wewe hao wachezaji wako wa mfukoni ,Hawawez kuja Arsenal

Kuna wenzako humu walimtaka Onana over Ramsdale, Emerson Royal over Tomiyasu, Buendia over Øde,

Mwisho walitulia ,na wewe utatulia
I suggested Felix long way kabla rumours hazijaanza ukanishushua weeeee mara sijui mchezaji wa mfukoni.

Hili liwe fundisho, tupunguze ujuaji. Kucomment Kila dakika humu kusikufanye ujione unajua Kila kitu kuhusu Mpira kuzidi wengine.
 
Kwani kipindi natoa maoni kuhusu Felix huyu Mudryk hakuwa top on the list? Nyie ndio mkapinga kuwa Felix Hana lolote na mfumo hauwezi mfit. Ndio nawauliza mna maoni Gani kwa Sasa ambapo Arsenal imeingia kwenye contest ya kumsajili Felix?

Mpo tayari kumeza matapishi yenu?
 
Mie msimamo wangu ulikua wazi kuwa Mudryk sio kiwango Cha Felix so I'd rather buy Felix than Mudryk ilihali bei zao wote ziko juu!!

Nyie ndio mkasema sijui lolote mara sijui Arteta anona Mudryk anafiti ila Felix Hana namba kwenye mfumo.

Leo wenye timu yao hatimaye wanakiri kuwa Felix anafiti kwenye mfumo!!

So sikuja hapa kubishana ila kuwaeleza tu kuwa next time heshimu maoni ya wengine.

Ndicka umemfurahia rumours zilipokuja ila Mimi niliongelea issue ya kusajili beki kuongeza cover mkasema sijui Mpira mara sijui Kuna combinations!!! Mbona hamjamkataa Ndicka Sasa si mlisema timu ipo covered kwenye defence?
 
Kweli umeamua mkuu.
 
1. Sipindishi maneno Mudryk is not better than Felix na uzuri Arsenal imekubali Hilo ndio maana wameingia kwenye race ya Felix.

2. Danilo ni level ya Lokonga so msitegemee ana impact yoyote msimu huu hili nazidi kurudia rudia na nitarudi hapa kuquote post zenu baada ya reality kuwa wazi. Na NATABIRI hapa Aaron uta suggest apelekwe mkopo maana hayupo tayari!!!

3. Felix Mlimponda sana Hilo liko wazi mlidai hafiti mkasema mchezaji wa mfukoni na kejeli kama hizo. Kama ambavyo nilisema tuongeze beki mkanikejeli ila Leo hii mnashabikia ujio wa Ndicka!!

Ningeshauri mpunguze ujuaji maana ipo wazi Sasa nani hajui Mpira.

I dissaproved you kwa Felix
I dissaproved you kwa issue ya LCB
And still I'll dissaprove you kwa Danilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…