Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Huyu jamaa muhuni sana
Huyu jamaa muhuni sana
Mkatili sanaHuyu jamaa muhuni sana
We are doomed
Losers keep posting this as if Arsenal ina CF mmoja, soon enough utasikia "oooh Netiah kabadilika" "ooh Arteta kambadilisha sn Nketiah"
Cry more ladyWachezaji w Arse88 wana nux. kila timu ya taifa yenye wachezaji wa Arse88 lazima watoke, kama hamamini leo England wanatolewa na senegal, Saka anawaponza wenzie.
WC ikishinda timu yenye mchezaj wa Arse88 wanaoanza kikosi ch kwanza,niitwe mbwa.
Huyu wa wapi mbwa wewe?Wachezaji w Arse88 wana nux. kila timu ya taifa yenye wachezaji wa Arse88 lazima watoke, kama hamamini leo England wanatolewa na senegal, Saka anawaponza wenzie.
WC ikishinda timu yenye mchezaj wa Arse88 wanaoanza kikosi ch kwanza,niitwe mbwa.
No confirmation of reports in Brazil that Jesus is out for three months. Arsenal sources saying it's still too early to say and time will tell

sio Mbwa,wewe ni KOCHOWachezaji w Arse88 wana nux. kila timu ya taifa yenye wachezaji wa Arse88 lazima watoke, kama hamamini leo England wanatolewa na senegal, Saka anawaponza wenzie.
WC ikishinda timu yenye mchezaj wa Arse88 wanaoanza kikosi ch kwanza,niitwe mbwa.
Joao Felix kaprove kitu gani kwenye izo ligi zako za ushindani.Angepatikana Joao Felix dah angekua perfect fit kwa mfumo wa Arsenal anaweza LW/RW pia CAM/CF. Kuliko huyo Murdyk wa 70M ambaye hajawa proven kwenye ligi za ushindani.
People don't realize Bukayo Saka is going to be a major attacker in Europe for the next 10 years. Still acting as if he's some lesser player than the others.
In his first full season as a RW in the EPL, he got 18 G/A. Scored against United, City, Tottenham, Chelsea. 20 years old
Ikawaje kwa Saka muzee?Wachezaji w Arse88 wana nux. kila timu ya taifa yenye wachezaji wa Arse88 lazima watoke, kama hamamini leo England wanatolewa na senegal, Saka anawaponza wenzie.
WC ikishinda timu yenye mchezaj wa Arse88 wanaoanza kikosi ch kwanza,niitwe mbwa.
Aliibeba Atletico kushinda La Liga mbele ya Barca yenye Messi na Real Madrid.Joao Felix kaprove kitu gani kwenye izo ligi zako za ushindani.
Aliyeibeba Atletico Ni Luis SuarezAliibeba Atletico kushinda La Liga mbele ya Barca yenye Messi na Real Madrid.