Nadhani unaona Liverpool inavyotaka kununuliwa na Msaudia.... Hapo Bado Man UTD naye Kuna rumours ikauzwa. Remember Newcastle nao wanazidi kupanda let alone Spurs, Chelsea na man City wanazidi kuimarika.
Hii ndio chance pekee ya kuingia UCL na kushinda ligi tukikosa hii nafasi tutajutia milele. It's a now or never situation hiki kiburi Cha kuepuka "panic buy" kilitukosesha UCL msimu uliopita na mentality hii ikiendelea tutakosa sio tu ligi ila hata top 4!!
Then msimu ujao kikosi kitakua exhausted, kina Saka na Martinelli hawatasaini mkataba mpya, na itakua downfall ya Arteta na Arsenal kwa ujumla. Sijui kwanini hamuelewi huu msimu ndio make or break!!
Jesus anahitaji sub pia Saka na Partey wanahitaji sub hata kama ni mizigo ila we need depth. Mara kumi hata tusajili kwa mkopo ilimradi kuwepo na kikosi kipana kutuvusha top 4 ama ubingwa kabisa.
Hiki unachosema wewe , Arteta na Edu walisema hadharan hawawezi kufanya kamwe, walisema wamepata kazi kubwa Sana kuwaondoa Deadwoods, hivo Kama wanakosa mtu sahihi sokon Ni Bora wasisajiri kabisa ,wakatoa mfano
Walimuhitaji Raphina Kama backup ya Saka na Martinell ,Lakini aka opt kwenda Barca ,wakaenda kwa Neto ,ikapandishwa Bei, wakasema hawatasajiri ilimradi,
Hata Bid ya Douglas Luiz ,ilikuja Baada ya Elneny kuumia ,
Kilichopo Sasa Anatafutwa Winger ambaye ataweza kucheza flanks zote mbili ,Awali walimlenga Raphina ,kwasasa Ni Murdky kutoka Shaktar donesk ,
Kiungo kutoka Palmerais Brazil anacheza no.8 na no.6 miaka 22 ,
Ni rahisi kusema atafutwe backup ya Partey ,lakin sokoni sio rahisi kumpata ,inahitaji skauti kutulia ,Kama unakumbuka hata Partey huyu sio yule aliyekuja
Ilifika hatua akawa na performance mbovu Sana akajipa 4/10
Lakini akaja kusema Sasa ameshamuelewa kocha anataka Nini ,ndipo unampata huyu Partey
Uchezaji wa Partey anapokea pasi kutoka back 4 anafanya turn moja , Kisha atapiga pass moja tu inayovunja mstari wa pinzani .
So hata backup ya Partey akija lazima aingie taratibu
Kwa sokoni labda uvunje benk ubebe De jong,