Atletico ipi inapaki basi? Labda unaona UCL peke yake ila kwenye La Liga formation ni 3-1-4-2 meaning mabeki ni 3 pekee wengine wote ni attack minded so ni tofauti na mitazamo ya wengi mnaoangalia UCL pekee na kujudge vilabu.
Kingine, Suarez ni mfungaji tu alibebwa na Felix, Lemar and Llorente in terms of assists na kufungua defence Ili Suarez apewe mipira kwenye box.
Anyway Murdyk is nothing compared to Felix kwa Kila kitu. so wakiamua kumsajili kwa hizo 70M ni BS yatajirudia ya Pepe
Atletico Ni timu ya kupaki Basi ,sio possession team ,usitudanganye
Halafu Arsenal ya Arteta haisajili kwa Mihemko au kwasababu mchezaji fulani Ni mzuri, wanasajiri kwa kuangalia anafaa kwenye mfumo .
Bado hujifunzi tu ,ndio nyie mliponda Sajiri za Kina Tomiyasu, White, Ramsdale,Jesus ,n.k
Wewe sema humtaki Murdky na humjui, ila tambua Arsenal ina maskauti wanaofanya hiyo kazi
Summer ,Arsenal ilifanya skauti ya LB alikuwepo Martinez ,Gomez ,na Zinchenko
Nani alikuwa anamjua Martinez Lisandro? Hata man u wamekuja kuingilia baadae Baada ya ETH kuwa kocha wa man u .
Gomez ulikuwa unamjua? Yupo City ,Baada ya Arteta kumbeba Zinny,
Unachanganya usajiri wa Pepe na Arteta'e Era?upo seriously?
Pepe alisajiriwa kipind Cha Raul sanheil kipind ambacho Model ya Arsenal haimruhusu kocha kuwa na Say yoyote ,kumbuka Emery alimtaka Zaha ,