Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
[emoji599] Gabriel Jesus will MISS the rest of the World Cup with a knee injury. [@geglobo]
[emoji1787]List imetoka...Kuna watu watanuna..[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]View attachment 2434418
Hii January inabidi tuwe serious na usajili, sijui kwanini Arteta alikua stubborn kusajili Holding Midfielder!!Matatizo yanaanza. 🤔
Katika mtu ambaye hatakiwi kulaumiwa arsenal kwa muda huu ni artetaHii January inabidi tuwe serious na usajili, sijui kwanini Arteta alikua stubborn kusajili Holding Midfielder!!
Itakuja kutu cost kama msimu uliopita alipoumia Partey na kuondoka Auba.
Jesus anakosa Mechi 1 au 2 TUMatatizo yanaanza. [emoji848]
Za ligi? Kiukweli jesus, partey, saliba, xhaka tunawahitaji kwa game zote zilizobaki.Jesus anakosa Mechi 1 au 2 TU
Nadhani unaona Liverpool inavyotaka kununuliwa na Msaudia.... Hapo Bado Man UTD naye Kuna rumours ikauzwa. Remember Newcastle nao wanazidi kupanda let alone Spurs, Chelsea na man City wanazidi kuimarika.Katika mtu ambaye hatakiwi kulaumiwa arsenal kwa muda huu ni arteta
panic buy utapata wachezaji wa kukaa bench ndio maana alipomkosa doug luiz akatulia asije akanunua takataka
Saka walau Kuna nelson na marquinhos wanaweza Unga Unga kidogo... Upande wa Martinelli Kuna ESR anarudi January nadhani.Za ligi? Kiukweli jesus, partey, saliba, xhaka tunawahitaji kwa game zote zilizobaki.
Naogopa nketiah kupewa nafasi ya jesus, labda martinelli, shida kwa martinelli atacheza nani?
Apone haraka
Namuheshimu white ila alichokifanya saliba ni miles kadhaa mbele.Saka walau Kuna nelson na marquinhos wanaweza Unga Unga kidogo... Upande wa Martinelli Kuna ESR anarudi January nadhani.
Labda kwa Gabriel ndio Hana sub ya LCB. Ila Saliba sub yake ni White so sio issue sana.
Eneo muhimu pekee ni Jesus na sub ya Partey maana bila midfield na Striker wa kueleweka tusahau top 4
Arsenal msimu uliopita hawakuwa na malengo ya kuingia top 4 elewa Hilo Kwanza,Nadhani unaona Liverpool inavyotaka kununuliwa na Msaudia.... Hapo Bado Man UTD naye Kuna rumours ikauzwa. Remember Newcastle nao wanazidi kupanda let alone Spurs, Chelsea na man City wanazidi kuimarika.
Hii ndio chance pekee ya kuingia UCL na kushinda ligi tukikosa hii nafasi tutajutia milele. It's a now or never situation hiki kiburi Cha kuepuka "panic buy" kilitukosesha UCL msimu uliopita na mentality hii ikiendelea tutakosa sio tu ligi ila hata top 4!!
Then msimu ujao kikosi kitakua exhausted, kina Saka na Martinelli hawatasaini mkataba mpya, na itakua downfall ya Arteta na Arsenal kwa ujumla. Sijui kwanini hamuelewi huu msimu ndio make or break!!
Jesus anahitaji sub pia Saka na Partey wanahitaji sub hata kama ni mizigo ila we need depth. Mara kumi hata tusajili kwa mkopo ilimradi kuwepo na kikosi kipana kutuvusha top 4 ama ubingwa kabisa.