Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Arsenal saiv tumekua tishio sana, uzi wetu unavamiwa sana na hapa ligi hatuchezi, kombe la dunia limekua gumzo kwenye uzi huu kisa wachezaji wa Arsenal
Nafurahi kuona hili limerudi tena[emoji16][emoji16]
Nafurahi kuona hili limerudi tena[emoji16][emoji16]