Jum Records
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 548
- 559
Tayar ametoka arteta kakusikiaVieira out,aingie Maquinhos
Tayar ametoka arteta kakusikiaVieira out,aingie Maquinhos
DONEToday tunachafua record tunaangalia game huku tunamwagilia moyo point 3 na uongozi wa kundi tunausubiria
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
kwani zmebaki tatu ni mbili mzeewashindi 8 katika magroup moja kwa moja wanaenda round 16..
second place of each group wanakabiliana na failure kutoka Champion's league kutafta kupata washindi wengine 8 kutimiza jumla ya timu 16🌚
Thus why Hizi mech 3 za mwisho Arteta atapambana Amalize nafas ya 1 ,aepuke mrundikano wa mech
Tumecheza mech 3kwani zmebaki tatu ni mbili mzee
Amekosa kujiamini tu kwenye baadhi ya sehemu alitakiwa awe anaanza chini badala yake akawa anabutua.Kwenye mechi ya jana nilikua nikimfuatilia zaidi Turner jamaa ana goalkeeping ya hali ya juu sana ananusa sana hatari na ana anticipation ya juu mno nimegundua ni kipa mzuri kwenye hayo maeneo angalau kwenye mechi ya jana.
Labda hakukua na maongezi ya kumuitaji tena january?Official. Douglas Luiz has signed a new long-term contract with Aston Villa.🟣
#AVFC
Deal completed after negotiations on Deadline Day with Arsenal collapsed on clubs side; Villa considered DL untouchable.
More on Douglas Luiz. Understand new deal with Aston Villa will be valid until June 2026, four year contract.🟣
#AVFC
Negotiations started right after the end of the market as Arsenal had three bid rejected for Douglas on Deadline Day.
daaaaah tuludi kwa tielemans tuOfficial. Douglas Luiz has signed a new long-term contract with Aston Villa. 🚨🟣🔵🇧🇷 #AVFC
Deal completed after negotiations on Deadline Day with Arsenal collapsed on clubs side; Villa considered DL untouchable.
More on Douglas Luiz. Understand new deal with Aston Villa will be valid until June 2026, four year contract. 🚨🟣🔵🇧🇷 #AVFC
Negotiations started right after the end of the market as Arsenal had three bid rejected for Douglas on Deadline Day.
nadhan Arteta na edu wamekuwa watulivu Sana Hilo Eneo kutafuta mtu sahihi,Labda hakukua na maongezi ya kumuitaji tena january