Ila Arteta aliupenda ukocha sanaArteta hawez kubebewa Hilo bango ,
Unajua Arteta alikuwa anampa Hadi madini Arsene Wenger?
Arsene Wenger alimtabiria makubwa Sana.
Angalia video hii
Sana ,Ila Arteta aliupenda ukocha sana
Acha makelele Wolves wenyewe ni timu ndogo tena kwenye msimamo inashika nafasi ya 18 lakini leo usiku lazima wawashikishe ukuta mbuzi nyie.Tulipokuwa tunashinda Vs Brentford tena kwake walisema Tunacheza na Timu Ndogo.
😄😄😄Kama mna hamu sana na Barcelona njooni mezani tubadilishane kwenye 16 bora ya Europa.
Ligi bado sana hii ewe arsenyeto
Hapa arsenal tushindwe wenyewe sasa maana leo tunaweza kuongoza kwa point 5 halafu tukimpiga city zinakuwa 8.. ubingwa ulee.![]()

Kaongezwa la piliSpurs keshatiwa kimoja