Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu ipo kamili

Kikosi kile kile kilichoiua Chelsea

Hofu yangu Ni moja ,mechi na Chelsea tulicheza vzr ,ila Kama mligundua Saka , Martinel hawakufanya mchakamchaka ule tuliouzoea ,hasa Saka , na hasa mech ya nyuma yake walitaka kumvunja

Hivo mechi na Chelsea alicheza simple Sana , akiogopa Majeruhi

Leo tayari wachezaji karibu 9 wamechaguliwa kwenda world cup , najiuliza watakuwa tayari kuweka Mguu Sehemu hatarishi ?

Wachezaji wa wolves wengi hawaend Qatar ,hawana Cha KUPOTEZA ,wapo mkiani

Mechi itakuwa ngumu Sana

Ushindi utatuweka kileleni Hadi Christmas .

Arteta kawaomba wachezaji waache mawazo ya World Cup wamalize mechi hii tukiwa Kileleni

Ameomba marefa wamlinde Saka , inatia Aibu EPL kuwa na nyota Kama Saka wanaacha anachezewa rafu ovyo ....
 
Arteta on the January transfer window: "Of course if we can improve the team we are always going to be looking to do that. We will have a look. We will try to get stronger and be reactive." (@SamJDean)
IMG_20221112_142317.jpg
 
| Mikel Arteta:

“We want to be there [top of the league]. We have to play better every single day. And that's what I tell the boys - the better we play, the more chances we will have to win more football matches.” [@SkySports] #afc
 
If you haven't already check out this video on Mudryk!

Ghana na Uswisi nawaombea watoke mapema World Cup

Xhaka na Partey warudi mapema

Hawa wengine najua hawatakuwa starter Sana
Tena leo usishangae team isiperform kama siku zote za awali kila mchezaji ana ndoto ya kuplay world Cup na yoyote akipata injury hatashiriki michuano hiyo so mf Martinelli Saka na wengine wote hawatataka kupata injuries na hata kwa team zingine inawezekana EPL ya Weekend hii isiwe na competition watu wakiiwaza world Cup
 
The perfect back up for Bukayo Saka and Gabriel Martinelli.

𝐅𝐚𝐜𝐮𝐧𝐝𝐨 𝐓𝐨𝐫𝐫𝐞𝐬. 𝐁𝐮𝐤𝐚𝐲𝐨 𝐒𝐚𝐤𝐚.

𝐌𝐮𝐝𝐫𝐲𝐤. 𝐌𝐚𝐫𝐭𝐢𝐧𝐞𝐥𝐥𝐢 h
 
Tena leo usishangae team isiperform kama siku zote za awali kila mchezaji ana ndoto ya kuplay world Cup na yoyote akipata injury hatashiriki michuano hiyo so mf Martinelli Saka na wengine wote hawatataka kupata injuries na hata kwa team zingine inawezekana EPL ya Weekend hii isiwe na competition watu wakiiwaza world Cup
Ile mechi na Chelsea ilikuwa Nyeupe Sana kwa saka , yule cucurella alikuwa chochoro kabisa, Cha ajabu Saka hata hakuwa hatari Kama siku zote, na nilihisi hiko kitu,

Arteta Jana kazungumzia ,na amewaomba wasiwaze World Cup ,

Yaani leo sitashangaa mechi kuwa ngumu kupita maelezo,
 
If Arsenal win today, they will be guaranteed top spot at Christmas for the first time since the 07/08 season

#WOLARS
 
Ile mechi na Chelsea ilikuwa Nyeupe Sana kwa saka , yule cucurella alikuwa chochoro kabisa, Cha ajabu Saka hata hakuwa hatari Kama siku zote, na nilihisi hiko kitu,

Arteta Jana kazungumzia ,na amewaomba wasiwaze World Cup ,

Yaani leo sitashangaa mechi kuwa ngumu kupita maelezo,
True leo ilikuwa haina haja ya EPL na wolves atatumia huo mwanya kukaza mtu kama Martinelli Saka White world Cup ni golden chance kwao kwa kweli ni mtihani leo
 
"I'd like to say a lot (of City influence at the Emirates) but I'd lie to you. Mikel and I worked together for 3 years.

'He was taught since he was born. Maybe I learned more off him than he did off me when we worked together. "

- Pep Guardiola
Huyu Pep atakua alishawahi kukaa magomeni mapipa,
Waswahili wa Magomeni ndio tuna hizo tabia za kuwapaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa.
Huyu muhuni ameshashtukia kua Arteta hatoboi katika mechi zilizobakia za round ya kwanza ndio maana anatuletea kejeli mashabiki wa AsaniWali.
Na sisi tulivyo mazuzu tunachekelea na kukenua meno yote nje kumbe Mwamba anatudhihaki.
 
Labda kwa makocha wengine, ila Pep huwa mkweli, had kwenye Kitabu chake amemuelezea Mikel Arteta, ameelezea aliwahi kumuomba mbinu jinsi ya Kuifunga Chelsea ,Wakati huo Arteta Ni mchezaji ,pep kocha Barca

Kipind Arteta amefika Arsenal Kama kocha alipoaanza kujenga timu Kuna mashabiki walileta Maneno, akasema Watu hawamjui Arteta ,akasema Kama Bodi ya arsenal itamfukuza watakuja kujuta

Juz Rio kamuuliza Pep kwenye kipind BT SPORT , kamuambia inaonekana umetengeneza Monster (Arteta)

Pep akasema ,Arteta Anajua Sana na hata yeye Pep amejifunza vingi

Arteta pia aliulizwa vipi mnawasiliana na pep had Sasa, akasema kila Siku wanajadili Kuhusu mpira , ila sio Kuhusu Arsenal na city

Wachezaji wa mancity kina KDB, n.k hata kina Sane, Sterling,Jesus ,Zinny wanamzungumzia Arteta Kama moja ya wakufunzi Bora.
 
True leo ilikuwa haina haja ya EPL na wolves atatumia huo mwanya kukaza mtu kama Martinelli Saka White world Cup ni golden chance kwao kwa kweli ni mtihani leo

Mbwa mwitu leo anaenda kujitafunia mbuzi za Arteta.
Na jinsi wachezaji wao walivyoshiba leo unaenda kupigwa mpira wa maguvu maguvu ili kuwatisha wavulana wa Arteta.
Kuna wachezaji leo wanaenda kupasuliwa kongosho.
 
KUNA TETES KUTOKA KWA CHARLES WATTS, ANASEMA IKIWA FABIO VIEIRA NA SAMBI LOKONGA WATAENDELEA KUCHELEWA KUA ADDAPT BASI HUENDA WAKATOLEWA MKOPO ,

| @charles_watts: “If Fabio Vieira doesn’t find his best form and his adaptation period drags on longer than expected, then Arsenal’s chances of really pushing on during the second half of the season could suffer.” [@goal] #afc

| : “Mikel Arteta is going to need his squad players to step up and provide real competition for his regular starters. Vieira has to become a viable alternative to Martin Odegaard or Granit Xhaka.” #afc

“The same goes for Sambi Lokonga, who has yet to really make an impact since his move from Anderlecht in 2021.” #afc
 
Labda kwa makocha wengine, ila Pep huwa mkweli, had kwenye Kitabu chake amemuelezea Mikel Arteta, ameelezea aliwahi kumuomba mbinu jinsi ya Kuifunga Chelsea ,Wakati huo Arteta Ni mchezaji ,pep kocha Barca

Kipind Arteta amefika Arsenal Kama kocha alipoaanza kujenga timu Kuna mashabiki walileta Maneno, akasema Watu hawamjui Arteta ,akasema Kama Bodi ya arsenal itamfukuza watakuja kujuta

Juz Rio kamuuliza Pep kwenye kipind BT SPORT , kamuambia inaonekana umetengeneza Monster (Arteta)

Pep akasema ,Arteta Anajua Sana na hata yeye Pep amejifunza vingi

Arteta pia aliulizwa vipi mnawasiliana na pep had Sasa, akasema kila Siku wanajadili Kuhusu mpira , ila sio Kuhusu Arsenal na city

Wachezaji wa mancity kina KDB, n.k hata kina Sane, Sterling,Jesus ,Zinny wanamzungumzia Arteta Kama moja ya wakufunzi Bora.
Ikifika mwezi May mtamkana wenyewe huyo Mateka wenu, mimi ninachokifanya sasa hivi ni kusave tu hizo comments zenu halafu nitawaonyesha kipindi mtakachoanza kulialia humu ndani kua Arteta afukuzwe.
Screenshot_20221112_152157.jpg
 
Back
Top Bottom