Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

Mbwa mwitu leo anaenda kujitafunia mbuzi za Arteta.
Na jinsi wachezaji wao walivyoshiba leo unaenda kupigwa mpira wa maguvu maguvu ili kuwatosha wavulana wa Arteta.
Kuna wachezaji leo wanaenda kupasuliwa kongos
Ikifika mwezi May mtamkana wenyewe huyo Mateka wenu, mimi ninachokifanya sasa hivi ni kusave tu hizo comments zenu halafu nitawaonyesha kipindi mtakachoanza kulialia humu ndani kua Arteta afukuzwe. View attachment 2414531
Mbona unateseka wewe jamaa sisi tunapigania namba 4 sio ubingwa ili tuingie champions league,ubingwa mnapigania nyie na city.
 
Nyie endeleeni kubargain bei halafu wanaume wanakuja kupanda dau.
Hivi kwa mchezaji ambae mnaamini ni quality £60 ni ya kukaa na kuanza kulialia kweli?
Juventus tayari ameshaingilia kati na yupo tayari kutoa hio £65 na kama msipomalizana nae muda huu baada ya fainal za kombe la dunia thamani yake itakuwa ni zaidi ya £80.
Ajichanganye aende akawe flop huko..
 
Ikifika mwezi May mtamkana wenyewe huyo Mateka wenu, mimi ninachokifanya sasa hivi ni kusave tu hizo comments zenu halafu nitawaonyesha kipindi mtakachoanza kulialia humu ndani kua Arteta afukuzwe. View attachment 2414531
Arteta hawez kubebewa Hilo bango ,

Unajua Arteta alikuwa anampa Hadi madini Arsene Wenger?

Arsene Wenger alimtabiria makubwa Sana.

Angalia video hii

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom