hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Arteta knows"Arteta alisema juzi Kati , kwasasa Arsenal imefikia hatua ya kusajiri Quality player na wachezaji wa another level"
[emoji23][emoji23][emoji23] Quality player na wachezaji wa another level mnawataka muwapate kwa £30 sio?
Endeleeni kujivuta hivyohivyo mpaka baada ya fainali za kombe la dunia halafu mrudi mezani kwenye majadiliano ya bei.
Mambo yakuuziwa mbuzi kwenye gunia hatutaki,
Mfano Chelsea wametumia £300m lakin Kama hawajasajiri
Man u wametumia £250m mchezaji was maana hasa Martinez ,maana Casemiro Hana misimu miwili mbele
Anthony Kama morisson TU
Hivo kwenye usajiri Kuna hitaji utulivu