Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Marko Di Natale Mwandishi kutoka Italy anaripoti Arsenal imetuma ofa kwa ya €60m kwa Mudrky

Arsenal are ‘serious’ about Mykhaylo Mudryk & have made an official offer worth €60m. Shakhtar Donetsk are ‘reflecting’ on the offer. [@_Morik92_]
IMG_20221110_185832.jpg
 
Lukonga sijui kwanini! Msimu wake wa kwanza mwanzoni alicheza vizur sana weng wakadhani ni next viera, nakumbuka Partey alikua majeruhi kipindi kile so aka pair na xhaka though hawakutengeneza bond nzur lakin potential yake ilionekana kwa uwazi nikadhan angetengeneza bonge la bond na Partey doo!
amekua mvivu, kuji position hajui, kukaba hajui, ubora wake umebak kwenye kupiga side pass tu ni huzuni

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
| Calciomercato: Nao wanaripoti Arsenal imetuma ofa

Huyu jamaa Anajua Hadi anakera ,

“Arsenal's strong interest in Shakhtar’s winger Mykhaylo Mudryk is confirmed. The Gunners have submitted an offer to the Ukrainian club and are now awaiting a response.” [@calciomercatoit]
IMG_20221110_185832.jpg
 
Fabrizio Romano aliripoti Novemba 8 kwamba Arsenal walikuwa na majadiliano chanya katika majira ya joto kuhusu Mudryk wa Shakhtar, lakini ilionekana kuwa ghali sana.

Alibainisha kuwa Bei ya winga huyo ni kati ya euro 60-65m ,

machapisho mawili leo yanaripoti kwamba Arsenal wametoa rasmi € 60m.
 
Juve are interested in Mudryk but sources have indicated Arsenal have already made an offer and are
accelerating talks to sign him in January. They’ve been working for months on the deal.
Screenshot_20221110-201145.jpg
 
The title race will be more realistic with the addition of Mudryk in our team. I hope Arsenal does the right thing by signing him . Fantastic player.
 
Anajua msako huyo.
Arteta alisema juzi Kati , kwasasa Arsenal imefikia hatua ya kusajiri Quality player na wachezaji wa another level

Hata mwanzo mwa msimu Edu alisema wakikosa Right player hawatasajiri watasubiri muda Mwingine, ile Tabia ya kusajiri ili kujaza wachezaj halafu low quality inaenda kuisha

Baada ya kumkosa Raphina ,hawakutaka Tena kusajiri ili mradi
 
Anajua msako huyo.
Arteta alisema juzi Kati , kwasasa Arsenal imefikia hatua ya kusajiri Quality player na wachezaji wa another level

Hata mwanzo mwa msimu Edu alisema wakikosa Right player hawatasajiri watasubiri muda Mwingine, ile Tabia ya kusajiri ili kujaza wachezaj halafu low quality inaenda kuisha

Baada ya kumkosa Raphina ,hawakutaka Tena kusajiri ili mradi
 
Fabrizio Romano aliripoti Novemba 8 kwamba Arsenal walikuwa na majadiliano chanya katika majira ya joto kuhusu Mudryk wa Shakhtar, lakini ilionekana kuwa ghali sana.

Alibainisha kuwa Bei ya winga huyo ni kati ya euro 60-65m ,

machapisho mawili leo yanaripoti kwamba Arsenal wametoa rasmi € 60m.
Nyie endeleeni kubargain bei halafu wanaume wanakuja kupanda dau.
Hivi kwa mchezaji ambae mnaamini ni quality £60 ni ya kukaa na kuanza kulialia kweli?
Juventus tayari ameshaingilia kati na yupo tayari kutoa hio £65 na kama msipomalizana nae muda huu baada ya fainal za kombe la dunia thamani yake itakuwa ni zaidi ya £80.
 
Juve hana hela, anataka kwa obligation to buy

Huyu uzuri yeye mwenyewe anataka kuja Arsenal ,hivo ngoja tu bargain kwanza
 
Nyie endeleeni kubargain bei halafu wanaume wanakuja kupanda dau.
Hivi kwa mchezaji ambae mnaamini ni quality £60 ni ya kukaa na kuanza kulialia kweli?
Juventus tayari ameshaingilia kati na yupo tayari kutoa hio £65 na kama msipomalizana nae muda huu baada ya fainal za kombe la dunia thamani yake itakuwa ni zaidi ya £80.
Bei yake imechangamka Sana, tunahitaji negotiation kupunguza Bei

| @FabrizioRomano:

“There is a chance for Mudryk to leave in January, but it depends on the price because when I see around €45-50m, no, Shakhtar wants way more than this. They considered Mudryk one of the best talents in the world, especially in his position.”

“This is why they [Shakhtar] want around €65-70m for Mudryk, no less than this. The price will be really high. It’s not for 50 [million] or something like that. So it’s not easy to sign Mudryk.”
 
Back
Top Bottom