Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

London kilio, ila kwa upande wetu sio mbaya sana, tumepunguziwa majukumu sasa tu focus na epl na europa
FB_IMG_16680317815923155.jpg


Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mikel Arteta:

“Losing is [disappointing], but the way the boys tried & played & the amount of changes we had to make because of the congestion & we have to protect the players. I’m really happy with that, but we wanted to continue in the competition & unfortunately, we are out.”
 
Tunahitaji wachezaji watatu na kuwaondoa wachezaji wengine angalau wawili , Hadi summer tuongeze jumla watano au Wanne ,tutapata Nguvu ya kupambania mataji manne
 
Huyu brighton siyo mtu pouwa sana. Alimtandika Man u 4 tukasema man u viraza, akanitandika 4 safi jana kawatandika timu iliyoko kwenye form ya dunia. Angalii yupo ugenini wala nyumbani yeye kutoa dozi kama Newcastle tu
Brighton ndio makombe yao hao

Kwa kikosi chetu tutakua jino kwa jino

FA
Europe league
Premier leagu

Na inahitajika tuongezea watu (2) pale January

Aaron Arsenal katuma press ya arteta baada kufungwa
Unagundua technically tumejitoa kwenye huu mpambano carabao
 
Back
Top Bottom