Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
“We’re going to pick a very competitive team (vs Brighton)Hizi kima za Arteta leo zitateseka sana. View attachment 2411237
“We’re going to pick a very competitive team (vs Brighton)Hizi kima za Arteta leo zitateseka sana. View attachment 2411237
Maswala ya TV rights hayo,
Hawa ndio wakipewa timu wanaishia kufukuzwa, maana hawawezi kujua profile za mchezaji, Ni wapi acheze upate ubora wakeHuyu anakuwa kama shafih dauda na wenzie wabongo
Miaka yoote xhaka anatukera sababu ya kupewa kazi anayoifanya partey sasa hivi.
Anajua kilichomsibu valencia 😂🤣Hawa ndio wakipewa timu wanaishia kufukuzwa, maana hawawezi kujua profile za mchezaji, Ni wapi acheze upate ubora wake
Mwenzie Garey Neville hataki Tena kurudi kwenye ukocha
So unakubaliana na Ferdinand kwamba kwa Partey acheze xhaka na tutapeta ata kwa game mbili!? Afu bila Saliba ndo hatuwez unakubaliana nae???Read BTL, Key word is "get through a couple of games"
Ifuatilie live score,Kwahiyo hii game tunaiangaliaje??
Na mechi ndio ikaishia hapo au? Mbona huleti apudeti buroo mufano? Hehehehe hala brighton