computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Coach ndio kaamua ila kiukweli Mistake za Gabriel za hivi karibuni ndio zimemnyima nafasi na Alarm ililia pale last month alivyotemwa kwenye kikosi cha Brazil [emoji1054] nafasi bado anayo na lazima ataparcipate kwenye world Cup 2026 kwa sasa amekosa nafasi reason kubwa ni hyoHiyo sio sababu , kwani Bremer kamzidi Nini Gabriel Magalhaes?