Hii hauhusiani na matokeo ya jana, lakini niseme wazi naomba Lokonga, Vieira na Nketiah waitwe vikosi vya kombe la dunia na January waondolewe kwenye timu.
January tunahitaji wachezaji watano. Haya ni maoni ya mtu aliyeutazama mchezo wa jana uwanjani, haya yanaakisi maoni ya wengi ukifuatilia majukwaa ya Twitter, Instagram, Facebook na YouTube.
View attachment 2412310
View attachment 2412312
Kuhusu Vieira hajapata muda mwingi, ametoka Injury bado hajatulia
Arteta amekuwa akimzungumzia daily
Ni dhahiri Jana Arteta alitaka ku sucrifice hii MICHUANO ,Kwanza hakutaka ku risk wachezaji muhimu, ndio maana hata kipa alianza chaguo la 3
Akasema kikos Ni kidogo means sio chakupambania mataji manne ,
Msikilize hapa ,

| Mikel Arteta on whether he will add to the squad in January: “It’s the same squad as when we win. I always said from day one that we have a shorter squad because at the end we left some players and as well if everyone is available and everyone can play the minutes” [@Arsenal]
“We are okay, but at the moment we have some injuries. We know what it is, but it’s nothing new. I said it the first day after the transfer window.” #afc

| Mikel Arteta on Fabio Vieira and how he’s adjusted:
“Well he’s missed a big part because he came and he was injured for two and a half months. So he’s missed a whole pre-season, and I think that period now in the World Cup [break] is going to make him very good.” [@Arsenal]

| Mikel Arteta on Fabio Vieira: “I think in front of goal he’s been a little bit unlucky because the last two games he could have scored a few goals. Every new player needs time to adapt and to play.” [@Arsenal] #afc

| Mikel Arteta on the team selection: “We wanted to give the chance to everybody that is involved in the squad and we believed that this was the competition to do it. I’m happy with the way they performed, but disappointed with the result.” [@Arsenal] #afc