Charlz ze son conscious
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 563
- 856
Source ipi umeonaInjury Aliyopata Bukayo Saka Jana Dhidi Nottingham Sio Kubwa, Atakuwepo Kwenye Mchez Dhidi Ya Chelsea Wikiend Ijayo [emoji91][emoji119] View attachment 2403270
Source ipi umeonaInjury Aliyopata Bukayo Saka Jana Dhidi Nottingham Sio Kubwa, Atakuwepo Kwenye Mchez Dhidi Ya Chelsea Wikiend Ijayo [emoji91][emoji119] View attachment 2403270
The Sun.Source ipi umeona
Soko siku hizi limeharibika saana, tunapoelekea itakuwa watu wanajiwahi kwa watoto wadogo.Kuna huyu Mudrky ,Arsenal walimskauti mapema Sana , baadae waka delay ,maana Shaktar walitaka €50m, dogo UEFA kakiwasha ,kashaanza kutolewa macho na kina mancity , na Bei imechangamka,
Wanasema Kama Anthony wa man u kauzwa €100m Basi huyu Ni Zaidi
Carlo Nicolini (Shakhtar Donetsk sporting director):
“Together with Mbappe, Leao & Vinicius, Mudryk is the strongest player in that position. Is €40m enough to buy him? We do not speak to these figures. Not even for €50m. We value Mudryk more than Antony, who cost €100m.” #afc
“The Italians bring low proposals, we don’t even sit to negotiate. There are many English candidates, Spanish, French. They [Arsenal & Manchester City] are two teams that have taken an interest in the player.” #afc
Nadhani tutaishia hapo kwenye 2ndMhhhh wadau mnasemaje ??View attachment 2403706
Huwa natembea na hii kauliMhhhh wadau mnasemaje ??View attachment 2403706
Amini amini nakuambia Chelsea atapigwa kama walivyopigwa wenzakeGame yetu na Chelsea pata chimbika,
Hapa karibuni tumewabomoa bomoa so hii lazima watukazie Kama man u walivyotukazia na huyo Auba atajitutumua atu prove wrong.
Nafkir tutaenda WC tukiwa nafasi ya pili, bado sio mbaya..
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Ata mi naombea iwe hivo,Amini amini nakuambia Chelsea atapigwa kama walivyopigwa wenzake
Moja kati ya game ntaangalia kifua wazi ni hii
Mtu kazi Partey, xhaka, odegard,
Pale kati patakua pamoto sana[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nyuma yupo Gabi, white, saliba, tomiyasu, Tierney
Sijui watapitia wapi?
Kule mbele sasa, Jesus, martinel hawa wanatosha kumaliza show
Nasikia saka atakuwepo
Nketiah, Nelson hawa pia kazi wanaiweza
Kumbuka Chelsea hawana ngolo kante,
Huyu mwamba kuna kipindi Hazard anakuambia ngolo kante yupo kila sehemu, wakipoteza mpira yeye ndio mkabaji na wakiwa na mpira anamuona yupo kwenye kushambulia
Chelsea ni pigo sana kumkosa huyu mtu
Kama arsenal akimkosa partey
Chelsea atakufa vizuri tu kuanzia 3+
Nahisi ya 95/96 huenda yakatukuta. Ila haitakuwa mbaya sababu lengo haswa ni top 4Mhhhh wadau mnasemaje ??View attachment 2403706
Hata Top 4 ni ngumu sana. Unataka top 4 na huna sub kwenye bench?Ukweli lazima usemwe arsenal amna uwezo wa kuchalange hata ubingwa labda top 4.
Timu nyingi zinazo fanya vizuri ukiangalia zinakuwa na sub imara sana yani kinatoka chuma kinaingia chuma mfano ni man city.
Sasa arsenal kikosi chenu hakina sub wenye kuweza badilisha matokeo yakiwa mabaya yani kikosi chenu cha kwanza mkipata hata majeruhi wa 3 tu mnakuwa na hali mbaya sana.
Kiukweli arsenal bado sio muda mtaanza kumtukana arteta kama Kawaida yenu hapa.
Hebu kwa mfano pale arsenal itoke wachezaji kama jesus,partey,xhaka,saka,saliba sioni kama kuna wakuziba pengo lao hapo.
Kiufupi mnakikosi kidogo sana,wenye mmeanza kuona kikosi mechi 3 za mwisho kilivyoanza kuchoka.
Labda tusi wa judge sana tuone mzunguko wa kwanza unaisha mkiwa kwenye hali gani.
Mkuu una hasira nae. Mechi yake ya kwanza EPL alikuchapa..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hivi Anthony ana kipi ambacho anamzidi Pepe?
Yule Pepe hapo man u anaanza kikos chenu panga pangua
Anthony huyu ambaye hawez 1v1 ,
Scholes kila siku anawaambia hakuna mchezaji pale ,
Leta msimamo au hii Kaz uliacha ?Hata Top 4 ni ngumu sana. Unataka top 4 na huna sub kwenye bench?
Hivi Siku Hizi uliacha kuleta msimamo wa Ligi au kazi ilikushinda?Mkuu una hasira nae. Mechi yake ya kwanza EPL alikuchapa..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]