Bado tuko kileleni epl na Europa.Tunaanza kuelewana kuhus fairule ya Arteta kwa sasa
Tukubali kwamba kocha anaanz kufeli kweny uchaguz wa wachezaj yupi aanze Europa ,yupi awe bench for Epl ,jamaa ana risasi nyingi sana tatzo linakuja jinsi ya kuzitumia izo risasiBado tuko kileleni epl na Europa.
Failure unayoizungumzia ni ipi au kuna timu isiyofungwa?
Nambie kuna timu gani hapo Epl haijafungwa msimu huu?
Wazee wa mbio za sakafuni hawa.Ukweli lazima usemwe arsenal amna uwezo wa kuchalange hata ubingwa labda top 4.
Timu nyingi zinazo fanya vizuri ukiangalia zinakuwa na sub imara sana yani kinatoka chuma kinaingia chuma mfano ni man city.
Sasa arsenal kikosi chenu hakina sub wenye kuweza badilisha matokeo yakiwa mabaya yani kikosi chenu cha kwanza mkipata hata majeruhi wa 3 tu mnakuwa na hali mbaya sana.
Kiukweli arsenal bado sio muda mtaanza kumtukana arteta kama Kawaida yenu hapa.
Hebu kwa mfano pale arsenal itoke wachezaji kama jesus,partey,xhaka,saka,saliba sioni kama kuna wakuziba pengo lao hapo.
Kiufupi mnakikosi kidogo sana,wenye mmeanza kuona kikosi mechi 3 za mwisho kilivyoanza kuchoka.
Labda tusi wa judge sana tuone mzunguko wa kwanza unaisha mkiwa kwenye hali gani.
Wazee wa mbio za sakafuni hawa.
Kwanza hata hio top 4 msimu huu wanaweza wasinuse, mzunguko wa pili tu ukianza ndio watathibisha wenyewe kua ni choka mbaya na mitusi kama yote kwa Mateka(Arteta)
Ruvu ShootingWewe timu gani mkuu
Unateseka ukiwa wapi?Ruvu Shooting
HeheheheRuvu shooting
Chunga wasikutukane maana kaukweli kanauma hakoo heheheheUkweli lazima usemwe arsenal amna uwezo wa kuchalange hata ubingwa labda top 4.
Timu nyingi zinazo fanya vizuri ukiangalia zinakuwa na sub imara sana yani kinatoka chuma kinaingia chuma mfano ni man city.
Sasa arsenal kikosi chenu hakina sub wenye kuweza badilisha matokeo yakiwa mabaya yani kikosi chenu cha kwanza mkipata hata majeruhi wa 3 tu mnakuwa na hali mbaya sana.
Kiukweli arsenal bado sio muda mtaanza kumtukana arteta kama Kawaida yenu hapa.
Hebu kwa mfano pale arsenal itoke wachezaji kama jesus,partey,xhaka,saka,saliba sioni kama kuna wakuziba pengo lao hapo.
Kiufupi mnakikosi kidogo sana,wenye mmeanza kuona kikosi mechi 3 za mwisho kilivyoanza kuchoka.
Labda tusi wa judge sana tuone mzunguko wa kwanza unaisha mkiwa kwenye hali gani.
Akina Sambi Lokonga ndio risasi??Tukubali kwamba kocha anaanz kufeli kweny uchaguz wa wachezaj yupi aanze Europa ,yupi awe bench for Epl ,jamaa ana risasi nyingi sana tatzo linakuja jinsi ya kuzitumia izo risasi
Akina Sambi Lokonga ndio risasi??

OllaChuga Oc wapumzisheni hawa Nyani, kwa jinsi mnavyowatisha Jumapili ijayo wanaweza kususa kuingiza timu katika dimba la Stanford Bridge.Chelsea 1 Brighton 4Hili ndio kosi la kuchukua ubingwa![]()
🤣🤣🤣Chelsea 1 Brighton 4
Uwe na adabu tu
Yaan watu wa man u na Chelsea mnavyotamba dahOllaChuga Oc wapumzisheni hawa Nyani, kwa jinsi mnavyowatisha Jumapili ijayo wanaweza kususa kuingiza timu katika dimba la Stanford Bridge.
Mnawapa vichwa Hawa kenge, Arsenal kufungwa Europa Tena anaongoza kund imekuwa mada humu ,na kuingia mkenge kuponda timu , kuna muda tukubali matokeo ,na timu itasonga mbele,Kuna tatizo la utumiaji nafasi limetukumbaChelsea 1 Brighton 4
Uwe na adabu tu