mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,701
- 19,552
Unateseka ukiwa kjiji gani hapo Malawi?UTABILI
Arsenal ataongoza ligi mpaka December, kuanzia January itashuka mpaka nafasi ya pili.
Hapo nafasi ya pili atadumu sana, lakini game tatu na mwisho zitahakikisha Arsenal anashuka mpaka nafasi ya 4, hiyo ndio itakua nafasi yake mpaka ligi inaisha.
Mimi sio mganga wa kienyeji bali ni mtabili mzuri tu, na tabili zangu nyingi zimewahi fanikiwa.
Kazi onayo wewe kibwengo na mapengo yako hayo ukiamini Arsenal atachukua ubingwa, imekula kwako.