Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

This upcoming Friday, the representatives of Facundo Torres will travel to London to try to seal a move to Arsenal. Reports, @Buggiano1.

() The representatives of Facundo Torres will travel to London to try to close a move to Arsenal. He's mother club, Peñarol, could get up to 30% of the transfer fee.(@Buggiano1)
IMG_20221031_020500.jpg
 
hamis77 unanifurahishaga sana na uchambuzi wako but for my opinion it's too early kuongea haya kwanza huwezi kufananisha kikosi cha Arsenal na Manchester City abadani tunapenda football na tunaipenda Arsenal yetu kikosi cha City kila sehemu almost ina replacement sisi tuna squad ya first eleven pekee ni wachache sana kwenye benchi ambao wana quality ya kutosha kama Tierney but wengine waliobakia wana homa ya vipindi (Nketiah Holding Lokonga )but tuendelee kuenjoy football kwa sasa
@computerarsenal hakika wewe ni zaidi ya shabiki wa Arsenal, wewe ni mpenzi wa mpira, ushabiki hua na upofu wa kutokuona upungufu/ubovu wa timu unayoishabikia, ila unapokua ni mpenzi wa soccer macho yako hayawezi kupofuka, nyeusi inakua nyeusi na nyeupe inabaki kua nyeupe.
Mashabiki wa humu ndani hawatakuelewa hata kidogo sanasana watakuchukia, kukubeza na kukuona ni mamluki.
 
Why jukwaa letu linavamiwa Sana na wahuni ? Moderator mpo tu ,Jukwaa linachafuliwa kwa matusi
Shida kubwa mashabiki wengi wa hili jukwaa ni madereva wa bodaboda, hivyo suala la matusi humo ndani ni ngumu kuepukika.
Pia takwimu zinaonyesha mashabiki wengi wa Arsenyani wana matatizo ya afya ya akili hivyo inatakiwa kuvumiliana tu.
tapatalk_2029434656_512x512.jpg
 
Vijana Wana Sonoma na matatizo ya akili yamekuwa makubwa Sana

Hivi unaanzaje kutoa matusi mitamdaoni, lazima Kuna shida mahali ,so nikumuacha
Takwimu hazidanganyi.
Mtu unakua kwenye risk kubwa sana kushabikia hii timu.
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kushabikia Arsenyani na kuokota makopo barabarani
tapatalk_2029434656_512x512.jpg
 
hamis77 unanifurahishaga sana na uchambuzi wako but for my opinion it's too early kuongea haya kwanza huwezi kufananisha kikosi cha Arsenal na Manchester City abadani tunapenda football na tunaipenda Arsenal yetu kikosi cha City kila sehemu almost ina replacement sisi tuna squad ya first eleven pekee ni wachache sana kwenye benchi ambao wana quality ya kutosha kama Tierney but wengine waliobakia wana homa ya vipindi (Nketiah Holding Lokonga )but tuendelee kuenjoy football kwa sasa
Wewe jamaa akili yako sijawahi kuielewa

Hivi nimefananisha hapo? Kwann hujajibu hoja Basi ,City ana squad ya wachezaji wangapi Kama unajua?

Nimeweka statement kabisa, Arsenal anakaribia kuwa na Quality kubwa ,nikaonesha Sehemu zenye Quality na sehemu zenye mapungufu

Lakini Cha ajabu wewe umekuja Direct unadai nimefananisha Arsenal na city squad ,Kwanini kichwa chako huwa kigumu

Nimeeleeza kabisa hapo Arsenal ana squad ya wachezaji 24-25 sawa na city , nikaanza kuelezea Kwanini Hao city mnaosema Wana quality had bench , nikaeleza asilimia 90 ya wachezaji wa city wanacheza Zaidi ya nafasi 3 ,hivo kwa mbumbumbu wa soka atadhan City ana kikos Cha wachezaji 30 Kama man u

Nikaeleza Arsenal tunaelekea huko ,nikionesha maeneo gani yana upungufu

Maana Arteta inajulikana anatumia Sana ideas za Pep ,

Project ya Arteta baada ya madirisha mawili itakuwa imekamilika kila Eneo kuwa na Quality player like cityzen

Cha ajabu wewe umekimbilia kunishutumu ,oho nimefananisha Arsenal squad na city ,

Mipango ya Arsenal ilikuwa aletwe Raphina ,alipokosekana hawakutaka Tena kurudi Sokon had wapate mtu sahihi

Nikauliza swali Pepe ana ubaya gan wakuwa backup?Pepe ana tofaut gan na Anthony wa Man u pale, Lkn why wamemtimua Pepe wakaona Bora wabaki na saka Martinell Jesus ambao wanaweza kucheza hizo nafasi vzr ,huku wakisubiri dirisha lingine waongeze winger anayecheza nafasi 2-3.

Wewe unawaona wabovu lokonga na nketiah ,lkn hufahamu Lokonga Ni 3rd choice , Nketiah as backup Hana ubovu huo ,na hapo Arsenal haijaongeza winger ambaye atakuwa na sifa za kuchafua Nafas zote 3
 
kwa squad ya arsenal ilivo kwa sasa XI inajulikana vizuri wala huitaji kujifkiria mara mbili ila tunapokuja kwa case ya squad kama ya bayern ama man city lazima utagawa opinions na hapo ndio palipo na utofauti mkubwa baina ya vilabu ivyo viwili na vingine duniani..
 
kwema lakini broo?
Binafsi hua nafurahi sana kusoma michango yako humu jukwaani.
Pia kuna mambo mengi sana nilikua siyajui ila nimejifunza kupitia michango yako, ndio maana nisipokuona humu hua nahisi kabisa kuna kitu kime miss kwenye hili jukwaa na lazima nikuulizie.

Ila yote ya yote broo jitahidi mapema sana uonane na psychiatrist, maana kumfananisha Pepe wenu na Antony tena kwa sura kavu kabisa umeanza kunitia wasiwasi(just a joke )
Hivi Anthony ana kipi ambacho anamzidi Pepe?

Yule Pepe hapo man u anaanza kikos chenu panga pangua

Anthony huyu ambaye hawez 1v1 ,

Scholes kila siku anawaambia hakuna mchezaji pale ,
 
kwa squad ya arsenal ilivo kwa sasa XI inajulikana vizuri wala huitaji kujifkiria mara mbili ila tunapokuja kwa case ya squad kama ya bayern ama man city lazima utagawa opinions na hapo ndio palipo na utofauti mkubwa baina ya vilabu ivyo viwili na vingine duniani..
Arsenal hayupo mbali sana ,kakaribia Sana kufikia level ya Mancity

Arsenal tunahitaji wachezaji wasiopungua Watatu tu
 
Ukweli Arsenal haipo mbali kufikia level ya city , Arsenal tunahitaji madirisha mawili TU

Tuna upungufu eneo la DM na Wings

Hizi wings Tunaongeza mmoja tuanayeweza kucheza flanks zote

Hapo unakuwa na Martinell Smith Rowe saka Jesus, Nelson ,Hawa wote wanacheza kwenye flanks
 
Arsenal hayupo mbali sana ,kakaribia Sana kufikia level ya Mancity

Arsenal tunahitaji wachezaji wasiopungua Watatu tu
baada ya round ya 2 msimu uliopita mech ya arsenal vs city na Arsenal vs Liverpool ,mwenye akili timamu angeelewa Arsenal haipo mbali kwenye hizo level ,

Ila tunachojua Ni kutukana

Arsenal alimaliza na points 69

Hapo alipoteza games 3 sababu ya wachezaj Watatu muhimu kuumia Partey Tierney na Tomiyasu , Hizi zilikuwa points 12 clear

Mech 3 za mwanzo wa Ligi tulipoteza pia sababu ya kuchelewa kusajiri ,hapo kulikuwa na points karibu 6 tungepata

Utaona Kuna points 18 zilipotea sababu ya Depth ya kikos ,kuchelewa kusajiri

Hizi points 18+69 unapata 87points

Msimu huu Hizo factors mbili hapo juu Arteta na Edu kwa asilimia 90+ walizipunguza ,

Kwasasa upande wa LB una watu 3 ambao wote wanacheza vzr

RB Kuna watu watatu pia

CBs kumejaa pia

Ni maeneo machache Sana yamebaki kuongeza watu

Utaona Kama tungekuwa na depth na kikos kipana (kikos kipana Sio kuwa na lundo la wachezaji wengi)

Basi hizi points 87 tulikuwa title contender ,

Walichotuzid Liverpool na City msimu uliopita Ni hizo factors mbili tu,

Kinachomtafuna Liverpool msimu huu Ni hizo factors mbili , Kikos kidogo maana ana wachezaji wengi ila spana mkononi, hakusajiri vzr akiamini kina wale wazee watamsaidia ,pia fatigue
 
Hivi Anthony ana kipi ambacho anamzidi Pepe?

Yule Pepe hapo man u anaanza kikos chenu panga pangua

Anthony huyu ambaye hawez 1v1 ,

Scholes kila siku anawaambia hakuna mchezaji pale ,
mlianza kwa Martinez tukawakaushia, sasa hivi hasira zenu mmeamua kuzihamishia kwa Antony baada ya kuwaadhibu kwa goli lake murua kabisa pale kwenye vitofali vya kuchoma.
Jana tulicheza bila Anthony uliona namna winga ya kulia ilivyopwaya?

Neymar mwenyewe anaelewa vizuri shughuli ya Anthony halafu wewe mmatumbi unataka umfananishe na project yenu iliyofeli.
tapatalk_-167010551_361x640.jpg
 
mlianza kwa Martinez tukawakaushia, sasa hivi hasira zenu mmeamua kuzihamishia kwa Antony baada ya kuwaadhibu kwa goli lake murua kabisa pale kwenye vitofali vya kuchoma.
Jana tulicheza bila Anthony uliona namna winga ya kulia ilivyopwaya?
Martinez Kwan tulimponda? Yule alikuwa aje Arsenal Kama LB

Halafu man u haina scout wakumpata Martinez ,Yule Ni mmeokota dodo sababu ya Kocha wake anamjua ,bila ETH Yule alikuwa awe Arsenal , hakuna aliyemponda ni beki mzuri Tena Sana

Ila tuliwaambia sisi tulimtaka Kama LB awe anacheza ndan as CM.

Anthony mnamuona ana msaada maana kwa winger Kama Sancho, Elanga , kwakweli Anthony ana afadhali

Rio Ferdinand alisema juzi hapa Winga za man u zijifunze kwa Saka

IMG_20221007_180115.jpg
 
Hata wachezaji timu pinzani wanakubali huu mziki ,

Michail Antonio: “This Arsenal team reminds me of old Arsenal, the unbeatables. This is what you're seeing now, how they're playing, and the free football.”

Michail Antonio: “That's one thing I've got to say "well done" to Arsenal for, and the owners; they stuck with Arteta, and now they're reaping the rewards.”

[BBCSport]
IMG_20221018_185909.jpg
 
Wewe jamaa akili yako sijawahi kuielewa

Hivi nimefananisha hapo? Kwann hujajibu hoja Basi ,City ana squad ya wachezaji wangapi Kama unajua?

Nimeweka statement kabisa, Arsenal anakaribia kuwa na Quality kubwa ,nikaonesha Sehemu zenye Quality na sehemu zenye mapungufu

Lakini Cha ajabu wewe umekuja Direct unadai nimefananisha Arsenal na city squad ,Kwanini kichwa chako huwa kigumu

Nimeeleeza kabisa hapo Arsenal ana squad ya wachezaji 24-25 sawa na city , nikaanza kuelezea Kwanini Hao city mnaosema Wana quality had bench , nikaeleza asilimia 90 ya wachezaji wa city wanacheza Zaidi ya nafasi 3 ,hivo kwa mbumbumbu wa soka atadhan City ana kikos Cha wachezaji 30 Kama man u

Nikaeleza Arsenal tunaelekea huko ,nikionesha maeneo gani yana upungufu

Maana Arteta inajulikana anatumia Sana ideas za Pep ,

Project ya Arteta baada ya madirisha mawili itakuwa imekamilika kila Eneo kuwa na Quality player like cityzen

Cha ajabu wewe umekimbilia kunishutumu ,oho nimefananisha Arsenal squad na city ,

Mipango ya Arsenal ilikuwa aletwe Raphina ,alipokosekana hawakutaka Tena kurudi Sokon had wapate mtu sahihi

Nikauliza swali Pepe ana ubaya gan wakuwa backup?Pepe ana tofaut gan na Anthony wa Man u pale, Lkn why wamemtimua Pepe wakaona Bora wabaki na saka Martinell Jesus ambao wanaweza kucheza hizo nafasi vzr ,huku wakisubiri dirisha lingine waongeze winger anayecheza nafasi 2-3.

Wewe unawaona wabovu lokonga na nketiah ,lkn hufahamu Lokonga Ni 3rd choice , Nketiah as backup Hana ubovu huo ,na hapo Arsenal haijaongeza winger ambaye atakuwa na sifa za kuchafua Nafas zote 3
Kiongozi jitahidi uwe unaandika kwa kiufupi maelezo mengi na yanajirudiarudia
 
Mikel Arteta was hopeful after the game that Bukayo Saka’s injury was not serious. It should become clearer in the next couple of days.

“It was a bad kick, but I don’t see it as anything further than that.”

charles watts.
IMG-20220923-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom