Muda sio mrefu Mateka (Arteta) ataanza kutukanwa humu.
Hawa ndio AsaniWali, Arsenyani, AssAnal au unaweza kuwaita watoa biriani kama dada yetu Mariamu wa Tabata.
Mbona hatujafungwa hizi kelele zanini,
Mtu alikula 3 na leeds, mwingine alikula 4 na Brentford. Ujasiri mnautoa wapi kuja kutukana viongozi wenu humu kisa sare,
Yaani mnatukana dereva na nyie n abiria, tutapindua gari mfe kenge nyie
jesus anapiga chenga akitaka kushoot adui kashafika, anatumia nguvu nyingi kwenye dribble ukifika mda wa kushoot nguvu zime isha anapiga kishoot kiduchuu akina ata afya,
As striker haache mambo mengi, a master zaid kwenye kujiposition kwenye free space(kwenye hili nketia anajitahid ila tatizo lake akipata mpira n kubutua ata bila kutazama goal liko wapi shabaha zero
)
Martinel siku hizi kaacha ku cut in na kushoot n muhimu zile ata kama hajafunga kipa anaweza tema mtu akamalizia