Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Halafu mpo busy mnasema Gabo anafanya makosa ya kawaida, hapo anapata support kwa vile the whole team is performing well, ingekuwa hakuna matokeo Gabi angekuwa victim mkubwa sana.
Timu gan ambayo inafungwa bila makosa

Mimi naona makosa yake ya kibinadamu tu, nitajie LCB ambaye una suggest aje kwasasa

Zingatia umri 20-25 na vitu unavyovikosa kwa Gabriel magalhaes
 
Huy jamaa Arsenal hua ina muumiza sana, alianza kutuponda adi kushangilia, kwamba tunashangilia sana leo amekuja na hili
Screenshot_20221010-200716.jpg
 
"Kazi yangu nikumtuliza kila mtu klabuni, hatutakiwi kubebwa na mafanikio ya sasa, huwa nawaambia wenzangu kufurahia ushindi ni sawa lakini kushinda mechi nyingi katika msimu ndicho tunachotakiwa kufanya, lengo ni rahisi, kushinda mechi nyingi kisha kusubiri kitakachotokea May, ama kushinda EPL au kucheza UEFA."

Gabriel Jesus.
IMG_20220731_075632_709.jpg
 
HAWA NOTTINGHAM FOREST NA ASTON VILLA WANA UEFA NYIE ARSENYETO NA MAMA CITA MNAFUGA MATAKO TU WAJA LAANA NYIE
 
ARTETA BADO ANAMTAKA MANUEL LOCATEL ,JE ATATUSAIDIA?


Arsenal ni miongoni mwa timu zinazotaka kumsajili Locatelli na hawana tatizo la kulipa ada inayohitajika ambayo kwa vyovyote vile haitakuwa chini ya bei ya ununuzi, ambayo ni karibu euro milioni 40.

(@ilbianconerocom )
Kwasasa hawez leta maringo, yan deal likija mezan ni chap analichangamkia
 
Ninachosema ni kuwa soka haikupi mda wa kujipanga, ukikosea kidogo tu unakuwa unfavourable kwa mashabiki. Leo hii Klopp pamoja na achievement zote, tayari wanaanza kumchoka.

Exactly, wait and see what will happen to Klopp after next saturday game vs City. Supporters’ reaction won’t be friendly.
 
Nyie mambanga tunawasubiri novemba tuwanywe supu. Hamuna timu ya kubeba ubingwa nyie takataka.
 
Back
Top Bottom