Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Dah ,Flano hujawahi kuishiwa manenoHio takwimu yako inaonyesha kila baada ya mechi 5 za ushindi mnaongwa mechi moja, hivyo mjiandae kisaikolojia kabisa kua mechi inayofata natakiwa mchezee.
Mech 3 zijazo
Man u mkitoboa Basi nitaamini Ten hagg ana upepo mkali
Jana kwa Everton ilikuwa JINI KATOKA ILA MGANGA HOI