Yaan unabaki unacheka tu, mech na totenham ,kosa lilifanywa na saka na xhaka, hata Kuna statement xhaka ameomba msamaha kwa Lile goli, Cha ajabu anatukanwa Gab, jiulize ile penalty angewin tackle, halafu je walitaka aache?
Haya leo ,ule mpira kaukosa ,Ni kawaida kwa mchezaji, but anashambuliwa ,uzuri Arteta hawasikilizi
Ndio Hawa Hawa hawakutaka Jesus, n.k wasajiriwe
Leo kabla ya mech mashabiki walikuwa wanatukana kwann kaanza Tomiyasu wakat nje kuna Tierny, after match wanamsifia Tomiyasu kumkaba vzr Salah


Gabriel ana mapungufu Ni kweli, lkn sio kumbull ,wachezaji wetu wengi wachanga ,wanahitaji kupewa moyo ,
Ode alikuja loan Arsenal alimaliza na goal 1, Arteta akataka amnunue jumla alitukanwa Sana ,now ode Ndiye captain na mchezaji muhimu
Pale kwa mfumo wa Arteta lazima acheze na LCB, na hatuna Zaidi ya Gab ,
Tunaweza kuleta lcb bado akawa afadhali ya Gab ,
Timu gan icheze isifungwe magoli? Siku akicheza vzr magoli yanapitiaga kwa Nan?