Gabriel n fighter na hoja hii niliizungumza sana kumtetea kipindi kile kina Will jr wana leta hizi tuhuma kwa mara ya kwanza,
Jamaa style yake ya uchezaj n muhimu sana kuwepo kwenye timu na ukiangalia pale Arsenal labda holding ndo anafanana nae kidogo, lakin sio White na siombei kabisa combo ya Saliba na White Kama ambavyo wengi wanavyo taman humu, pata vuja watu hawata aamin mechi mbili tu watu watamkubuka Gab,
Juma pili nilitoa pendekezo kama hili lako kwamba labda hyo namba awekwe Tomiyasu pengine likawa suluhisho bora kuliko white. white abaki kulekule mbili ndo kume mpendeza
Gabi n kwel sahv anavuja sana na ametuchoma sana uo n kweli haina haja ya kuufunika lakn n mchezaj anae kua, na ana sifa zote za kuja kua mchezaj nguli tunahitaj kumvumilia,
ikiwezekana Arteta aanze kumbench ili alifresh, Tomiyasu ama Holding wamkaimu kwa mda au turud kwenye back three mpaka Jamaa atakapo rudisha ubora wake