Bila shaka utakuwa ni KE kwani hilo neno Mxieew lina tumiwaga na wajawazito, so tafuta ndimu then kaa chini umcheki mwanaume kileleni.Pumbaf ,nalichukia hili litimu
Mxieew
Dahhh Mkuu kwenye tv niliyokuwa natazamia game yetu, Ziny hakuwepo First 11 wala subKuna Kitu Cha Ziada
Nadhani Kwa Sasa Hivi Bila Shaka Yeyote Huu ndo Muda wa Kusema Arsenal ina Kocha Mzuri na anafanya kazi Inaeleweka Haswaa
Ukiangalia Wengi Wetu Kuna atakayesema Mchezaji Bora Mpaka sasa ni Saliba Wengine Jesus Wengine Zichenko Wengine Odergaard Wengine Saka Wengine Martinelli wengine Xhaka mim Nitasema Partey ila kiuhalisia MTU ANASTAHILI SIFA ZOTE NI MIKEL ARTETA
Team inacheza kwa swagga inacheza na nguvu nyingi inacheza na speed inacheza na spirit na inacheza beautiful Footbal ambayo tuliikosa miaka mingi Nyuma
Skuiz Arsenal inajaza Uwanja Mashabiki wanashangilia kwa mzuka mwingi kuna muunganiko mzuri sana kati ya mashabiki na wachezaji na imani imeongezeka maradufu
ARTETA kafanya kazi kubwa sana kuhakikisha kila kitu katika team kinarud katika level iliyokuwepo na ni mtu ambaye ni mkali sana kuhakikisha malengo yanafikiwa
Ukiangalia baada ya Game kuisha wachezaji wakihojiwa kuna Upendo mkubwa sana kati yao wanaaminiana wana furaha ndani ya team na wanasaidiana kwenye lugha na kila kitu
Ukiangalia wachezaji wanaotoka Benchi wanaingia wakiwa na morali ya hali ya juu na hii inaonyesha kuwa wana Umoja na wanakubaliana na maamuzi ya Mwalimu kwa anayeanza na anayesubiria ..
Mwangalie Jesus akiwa anatoka anahamasisha wenzake wanaobakia uwanjan kuwa bado waendelee kupambana..Mwangalie Xhaka Tukiwa tumefunga goli huwa anaenda Kuongea na wachezaji uwanjan na kutoa maelekezo pale pale wakiwa wanashangilia.
Tusisahau Burudani Yote hii mpaka sasa Benchi la Ufundi Wamefanya Kazi Yao Ipasavyo..
Mfano mzuri ni Jana SALIBA,Jesus, WHITE,PARTEY,SAKA,MARTINEL,ZINCHENKO wote Hao walikuwa kwenye viwango Bora kabisa na wengine waliobaki hakuna aliyecheza vibaya maana yake ni kuwa Tuna Kocha..
MIKEL ARTETA![]()

Unajua Timu ikiwa I inafanya vizuri kila kitu kitakuwa vzr hakuna mtu atasemwa vibayaKuna Kitu Cha Ziada

Dahhh Mkuu kwenye tv niliyokuwa natazamia game yetu, Ziny hakuwepo First 11 wala sub![]()
Huyu dogo kwa magumu aliyopitiwa ,kukataliwa na timu za ulaya Kwenye trial atasaini soon mkataba Mwingine mrefuMartinel apigwe kandarasi ya miaka 7
Pia saka, odegard, Jesus,
Dynamic flows zilizofanywa second half ilikua ngumu liverpuli kukiepuka kile kikombe
Haaland kiatu
Arsenal ndooView attachment 2382507
Unakosa mambo mazuri.. arsenal ya akina Thierry Henry imerudi.Mambo gunners. . Msimu huu huwa sipati nafasi kuangalia games. Kwa maoni ya wadau humu mpira wetu utakuwa umekuwa mkali. Long my it continue. COYG
Safi sana. Jana niliibia ibia kidogo game ya Liverpool nikiwa kwenye kikao cha Harusi. Yaani kikao Cha Harusi yangu mwenyewe halafu nachomoka chomoka kizushi zushi kucheki game huku wajumbe wengine nimewaacha mezani wananisubiri. Kikao kulikuwa kirefu sana aiseeUnakosa mambo mazuri.. arsenal ya akina Thierry Henry imerudi.
Pole sana. Hope utaziona mechi zijazo.Safi sana. Jana niliibia ibia kidogo game ya Liverpool nikiwa kwenye kikao cha Harusi. Yaani kikao Cha Harusi yangu mwenyewe halafu nachomoka chomoka kizushi zushi kucheki game huku wajumbe wengine nimewaacha mezani wananisubiri. Kikao kulikuwa kirefu sana aisee
Hongera ndugu, na Mungu akutangulie , Arsenal kila mech inazid kuimarika ,Safi sana. Jana niliibia ibia kidogo game ya Liverpool nikiwa kwenye kikao cha Harusi. Yaani kikao Cha Harusi yangu mwenyewe halafu nachomoka chomoka kizushi zushi kucheki game huku wajumbe wengine nimewaacha mezani wananisubiri. Kikao kulikuwa kirefu sana aisee
Hio takwimu yako inaonyesha kila baada ya mechi 5 za ushindi mnaongwa mechi moja, hivyo mjiandae kisaikolojia kabisa kwa mechi inayofata mnatakiwa mshonwe.2-0 vs. Crystal Palace
4-2 vs. Leicester
3-0 vs. Bournemouth
2-1 vs. Fulham
2-1 vs. Aston Villa
3-1 vs. Man Utd
1-2 vs. FC Zürich
0-3 vs. Brentford
3-1 vs. Spurs
3-0 vs. Bodø/Glimt
3-2 vs. Liverpool
10 wins out of the first 11 for Arsenal.https://t.co/j3hnJaaWdd
huyo akapita akaenda zakeMartinel apigwe kandarasi ya miaka 7
Pia saka, odegard, Jesus,
Dynamic flows zilizofanywa second half ilikua ngumu liverpuli kukiepuka kile kikombe
Haaland kiatu
Arsenal ndooView attachment 2382507
Naona Arteta kagundua alikochimbia uchawi WengaKuna Kitu Cha Ziada
Nadhani Kwa Sasa Hivi Bila Shaka Yeyote Huu ndo Muda wa Kusema Arsenal ina Kocha Mzuri na anafanya kazi Inaeleweka Haswaa
Ukiangalia Wengi Wetu Kuna atakayesema Mchezaji Bora Mpaka sasa ni Saliba Wengine Jesus Wengine Zichenko Wengine Odergaard Wengine Saka Wengine Martinelli wengine Xhaka mim Nitasema Partey ila kiuhalisia MTU ANASTAHILI SIFA ZOTE NI MIKEL ARTETA
Team inacheza kwa swagga inacheza na nguvu nyingi inacheza na speed inacheza na spirit na inacheza beautiful Footbal ambayo tuliikosa miaka mingi Nyuma
Skuiz Arsenal inajaza Uwanja Mashabiki wanashangilia kwa mzuka mwingi kuna muunganiko mzuri sana kati ya mashabiki na wachezaji na imani imeongezeka maradufu
ARTETA kafanya kazi kubwa sana kuhakikisha kila kitu katika team kinarud katika level iliyokuwepo na ni mtu ambaye ni mkali sana kuhakikisha malengo yanafikiwa
Ukiangalia baada ya Game kuisha wachezaji wakihojiwa kuna Upendo mkubwa sana kati yao wanaaminiana wana furaha ndani ya team na wanasaidiana kwenye lugha na kila kitu
Ukiangalia wachezaji wanaotoka Benchi wanaingia wakiwa na morali ya hali ya juu na hii inaonyesha kuwa wana Umoja na wanakubaliana na maamuzi ya Mwalimu kwa anayeanza na anayesubiria ..
Mwangalie Jesus akiwa anatoka anahamasisha wenzake wanaobakia uwanjan kuwa bado waendelee kupambana..Mwangalie Xhaka Tukiwa tumefunga goli huwa anaenda Kuongea na wachezaji uwanjan na kutoa maelekezo pale pale wakiwa wanashangilia.
Tusisahau Burudani Yote hii mpaka sasa Benchi la Ufundi Wamefanya Kazi Yao Ipasavyo..
Mfano mzuri ni Jana SALIBA,Jesus, WHITE,PARTEY,SAKA,MARTINEL,ZINCHENKO wote Hao walikuwa kwenye viwango Bora kabisa na wengine waliobaki hakuna aliyecheza vibaya maana yake ni kuwa Tuna Kocha..
MIKEL ARTETA 🙌🙌🙌