Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukute hata kupiga danadana hujui,huo ndio ushabiki UHARO
Yaan unabaki unacheka tu, mech na totenham ,kosa lilifanywa na saka na xhaka, hata Kuna statement xhaka ameomba msamaha kwa Lile goli, Cha ajabu anatukanwa Gab, jiulize ile penalty angewin tackle, halafu je walitaka aache?

Haya leo ,ule mpira kaukosa ,Ni kawaida kwa mchezaji, but anashambuliwa ,uzuri Arteta hawasikilizi

Ndio Hawa Hawa hawakutaka Jesus, n.k wasajiriwe

Leo kabla ya mech mashabiki walikuwa wanatukana kwann kaanza Tomiyasu wakat nje kuna Tierny, after match wanamsifia Tomiyasu kumkaba vzr Salah 😂😂😂

Gabriel ana mapungufu Ni kweli, lkn sio kumbull ,wachezaji wetu wengi wachanga ,wanahitaji kupewa moyo ,

Ode alikuja loan Arsenal alimaliza na goal 1, Arteta akataka amnunue jumla alitukanwa Sana ,now ode Ndiye captain na mchezaji muhimu

Pale kwa mfumo wa Arteta lazima acheze na LCB, na hatuna Zaidi ya Gab ,

Tunaweza kuleta lcb bado akawa afadhali ya Gab ,

Timu gan icheze isifungwe magoli? Siku akicheza vzr magoli yanapitiaga kwa Nan?
 
WELL DONE BOYS ,WELL DONE ARTETA

Alijua kucheza na mitego ya liverpool

Utakiwi kucheza na Liverpool ukashambulia kila space utaumia vibaya sana....wanaziachaga zile space makusudi kusudi uende ukosee pass Moja tayari unakuwa off position kinachofuata hapo mtarudi Kati kama sio kusifia Kipa
EPL nzima hakuna team inaweza kushambulia half spaces kama Liverpool,hakuna team inatega counter attack kama Liverpool bad Lucky to them watu wameanza kujua hii mitego ndo maana wanawaacha wacheze wao .

Ukijifanya kumshambulia liver without Rest defense Umeishaaa...ni sekunde tu utarudi Kati ,wao sio kwamba hawazioni zile holes wanazoacha wanaziachaga makusudi uingie wakupress ukosee apo ndo utajua pin points passes zinapigwaje .

Hawa Liverpool wanafanya high line makusudi pia uingie offside,ukiweza kukwepa Hilo unaweza kuwafunga kiwepesi lkn anavyochoraga msitari ule VVD ni ngumu kuchomoka bila kukamatwa offside
 
Yaan unabaki unacheka tu, mech na totenham ,kosa lilifanywa na saka na xhaka, hata Kuna statement xhaka ameomba msamaha kwa Lile goli, Cha ajabu anatukanwa Gab, jiulize ile penalty angewin tackle, halafu je walitaka aache?

Haya leo ,ule mpira kaukosa ,Ni kawaida kwa mchezaji, but anashambuliwa ,uzuri Arteta hawasikilizi

Ndio Hawa Hawa hawakutaka Jesus, n.k wasajiriwe

Leo kabla ya mech mashabiki walikuwa wanatukana kwann kaanza Tomiyasu wakat nje kuna Tierny, after match wanamsifia Tomiyasu kumkaba vzr Salah

Gabriel ana mapungufu Ni kweli, lkn sio kumbull ,wachezaji wetu wengi wachanga ,wanahitaji kupewa moyo ,

Ode alikuja loan Arsenal alimaliza na goal 1, Arteta akataka amnunue jumla alitukanwa Sana ,now ode Ndiye captain na mchezaji muhimu

Pale kwa mfumo wa Arteta lazima acheze na LCB, na hatuna Zaidi ya Gab ,

Tunaweza kuleta lcb bado akawa afadhali ya Gab ,

Timu gan icheze isifungwe magoli? Siku akicheza vzr magoli yanaoitiaga kwa Nan?
ushabiki mwingine wa kishamba sana,eti lizito sijui halina kasi,UHARO kabisa,kama ambavyo hakuna Binadamu aliye mkamilifu kwa Asilimia Mia,vilevile hakuna mchezaji aliye sahihi kwa Asilimia Mia, mistake ni kitu cha kawaida kwenye mpira
 
Arsenal had 46 touches in Liverpool's box today - more than they had in the previous 5 PL meetings combined (44)

Liverpool have only allowed their opponents more touches in their box in 1 previous PL game under Klopp - 48 v Man City, November 2019
 
Pengine labda una vision au darubin ya ku maxmize micro thing, kipindi kile unaleta hii hoja nilikua nakushangaa lakin pia kiukwel haya makosa yalikua hayaonekani mzee ameanza kuchachawa tu hapa karibuni
Nadhani kwa muda huu tunayaona makosa vizuri sababu timu imekuwa bora kila eneo, Saliba anavyocheza kwa usahihi anafanya Gabriel aonekana si kitu.
 
Arteta tactically alikuwa superb hasa katika kuzuia threat za Upinzani...
Wengi tulimshangaa uwepo was Tomiasu kushoto wakati Teaney kamuacha bench...

Simple tu coz salah anatumia mguu Wa kushoto then anacheza kulia so arteta ikabidi amuanzishe tomi ili wakati salah anafinyia ndan anakutana na mguu Wa kulia Wa tomi Bonge moja LA mbinu

Tomiyasu ni aina ya wachezaji wanaitwa AMBIPEDALITY , tuliwahi kuwa na mchezaji wa hivi SANTI CARZOLA, wanatumia Miguu yote kwa Usahihi , kwa Sasa wanaocheza ninaowafahamu Kuna Ousman Dembele, Lalana .

Takehiro Tomiyasu Ni aina ya wachezaji wa hivi , kule japani National team anacheza nafasi 4, anacheza RB,RCB,LCB,na LB

Arteta amekuwa akimtumia Zaidi Kama RB , Leo dhidi ya Salah amemtumia LB azuie threat zake, pale Salah anapotaka kuingia ndan, Coz Salah Ni Inside forward ,sio mtu wakucheza Sana kwenye mstari .
 
Nadhani kwa muda huu tunayaona makosa vizuri sababu timu imekuwa bora kila eneo, Saliba anavyocheza kwa usahihi anafanya Gabriel aonekana si kitu.
Hata ukimtafuta dunian LCB Bora umuweke kwa Gab ,bado Kuna magoli tutafungwa
 
HUU UGOMVI XHAKA ALITAKA KUUNUNUA

🚨The FA are investigating a comment made from Jordan Henderson towards Gabriel magalgahes in today’s game.

We're right behind you Gabi❤
FB_IMG_1665348956458.jpg
 
Back
Top Bottom