Gabriel miguu mirefu ila hamna kitu kabisaA very shaky defence, Saliba atafutiwe partner coz sioni improvement yoyote kwa Gabriel, kazi kutoa maboko kila mechi.
Anyway, congrats gunners.. man u, spurs
, liver
..walau msimu huu we're trying to make a statement.
Huwa nakukubali sana mkuu 👏Dakika 40 ndio tumecheza mpira wetu ile arsenal yenyewe
Nakumbuka game ya man u tulikua tunafunguka funguka tu kama tunacheza na mbeya city hivi
Hii game naona arteta ameingia na tahadhari ya hali ya juu
Hii tahadhari inaashiria kuna matokeo ya aina mbili tu
Liverkuku afungwe au arsenal ishinde
Haaland kiatu
Arsenal ndoo
Tomiyasu me naona mzuri ila Kucheza beki wa kati inahitajika Nguvu kidogo ambayo naona Tomiyasu hana, ila Gabriel sio beki mtulivu kabisa makosa mengi sana.!Ata white sioni kama atatengeneza perfectcombo na Saliba, napendekeza tomiyasu apewe majukumu ya Cb naona n mtulivu sana
Siku ikianza combo ya white na Saliba nafikiri Gabriel atakua mchezaji wa FATumeshinda ila nafurahi kuona tunaongea lugha moja kwa Gabriel, nilivyoandika mara ya kwanza niliambiwa namchukia![]()
Binafsi namuona atakuja kuwa beki mzuri baadae, itamchukua muda kuwa top, he will cost us points at times.Siku ikianza combo ya white na Saliba nafikiri Gabriel atakua mchezaji wa FA
Ollashoga upo?Nyie bado ni takataka tu ..mumekutana na wachovu wavimba macho livakuku ishajichokea siyo “big six” tena.
Mkuu tupo pamojaHuwa nakukubali sana mkuu
Huwa unafurahisha sana
Pengine labda una vision au darubin ya ku maxmize micro thing, kipindi kile unaleta hii hoja nilikua nakushangaa lakin pia kiukwel haya makosa yalikua hayaonekani mzeeTumeshinda ila nafurahi kuona tunaongea lugha moja kwa Gabriel, nilivyoandika mara ya kwanza niliambiwa namchukia![]()
ameanza kuchachawa tu hapa karibuniLizito,halina kasi + maboko likolooKuna tulio amini kurud kwa saliba kutakua na muunganiko wa Saliba na Benn White ila imekua tofauti mpaka sasa ila lile jamaa li Gabby magal mie hua silikubali kabsa liliwa na mpira mguuni
Lizito,halina kasi + maboko likoloo

duuh leo ndo mna mkataa hivi mmesahau alikua mwamba pale nyuma