Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Very good results kwa Arsenal unatakiwa Top teams kama hizi unazipiga watoto unakuja kuvimalizia tu Next game vs Liverpool nataka kuona 3 points tunazipata kwa Liverpool mbovu no excuse and then Partey Mungu ampe maisha marefu Arsenal yeye ndiye reason ya kulose vs Manchester United baada ya kukosekanika but kuna mwamba mmoja alidai Partey ana low IQ plz mtu mzima akikosea huchutama omba Radhi kwa tusi kubwa ulilolitoa kuhusu mwamba wa Ghana mimi my self niliomba radhi kwa Arteta last season bro

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Me sio mshabik wa Gunners.. Lkn nilipita humu nikaona mtu anasema Partey ana low IQ dah namuangalia Partey leo hlf najiuliza huyo jamaa aliyosema ayo alikua serious au utan au uwa anaangalia game gani.
Nadhani Wabongo wengi tuna shida hatusomi maelezo tukaelewa.

Naposema Partey lacks IQ namaanisha interms of total control pale timu inapokuwa kwenye possession, wala si kwamba Partey ni mchezaji mbaya. kwa kukulupuka wengi wameshindwa kuelewa comment niliyoandika. Na ninaposema Partey analack IQ, idea ilikuwa ni kumcompare against elite holding midfielders kama Rodrigo, Bosquets kwenye aspect moja tu TOTAL CONTROL OF THE GAME. Hapa ndipo wengi niliwaacha.

Hata Mikel Arteta anadhihirisha nilichoandika, Arsenal ikiwa kwenye possession nowdayz Zinchenko anakuwa kwenye pivot then Partey anakuwa beside kidogo. When Arsenal go for total control, zinchenko ni lazima awepo.
 
Mkuu ngj nifanye kama mm nakuelewa.. Lkn neno unalotumia kua ana Low IQ nadhan ni kumkosea sana heshima Partey kwa anavowasaidia na asipo kuwepo team inavocheza, ni vitu viwili unaona kbs anahitaj sana kuwepo kwny team hii.. Ni sawa anaweza kua sio kama hao uliotaja lkn me napopata ukakas neno low IQ asee ukikubliana na mm kua ilo neno ni kumkosea heshm Partey maelezo yako sehem zngne zote nakubaliana na ww.
 
Nadhani Wabongo wengi tuna shida hatusomi maelezo tukaelewa.

Naposema Partey lacks IQ namaanisha interms of total control pale timu inapokuwa kwenye possession, wala si kwamba Partey ni mchezaji mbaya. kwa kukulupuka wengi wameshindwa kuelewa comment niliyoandika. Na ninaposema Partey analack IQ, idea ilikuwa ni kumcompare against elite holding midfielders kama Rodrigo, Bosquets kwenye aspect moja tu TOTAL CONTROL OF THE GAME. Hapa ndipo wengi niliwaacha.

Hata Mikel Arteta anadhihirisha nilichoandika, Arsenal ikiwa kwenye possession nowdayz Zinchenko anakuwa kwenye pivot then Partey anakuwa beside kidogo. When Arsenal go for total control, zinchenko ni lazima awepo.
Nimethibitisha bila shaka kwamba una low IQ
 
Hii mechi inamuhitaji Tomiyasu, yale makosa tuliyofanya mechi na MANU yanataka kujirudia.. Ben White ni Mzuri ila kwa pembeni hapana aisee... Kuna mufa anajisahau anaufinya uwanja. Spurs wanapita kama sebuleni
Ben white ni inverted full back, idea ni kuprovide Compactness kwenye pivot area cuz system tunayotumia ina single pivot Partey, White akiwa kwenye touchline that means partey atacover eneo lote peke yake, tupunguze ujuha wakuu.
 
Nadhani Wabongo wengi tuna shida hatusomi maelezo tukaelewa.

Naposema Partey lacks IQ namaanisha interms of total control pale timu inapokuwa kwenye possession, wala si kwamba Partey ni mchezaji mbaya. kwa kukulupuka wengi wameshindwa kuelewa comment niliyoandika. Na ninaposema Partey analack IQ, idea ilikuwa ni kumcompare against elite holding midfielders kama Rodrigo, Bosquets kwenye aspect moja tu TOTAL CONTROL OF THE GAME. Hapa ndipo wengi niliwaacha.

Hata Mikel Arteta anadhihirisha nilichoandika, Arsenal ikiwa kwenye possession nowdayz Zinchenko anakuwa kwenye pivot then Partey anakuwa beside kidogo. When Arsenal go for total control, zinchenko ni lazima awepo.
Na lbd tukubaliane tu Huwez taka Partey awe na composure kama Ya Busquets haiwez kua maana kila Mido anacheza kwa Style yake na ni kama Kante na yy ana aina yake ya uchezaj lkn anakua bora kwa majukumu yale anayo fanya...na lbd nikwambie Arsenal had kuona wanaenda kumchukua Partey Ath. MADRID Pa1 na injury record zake ni itoshe kukwambia Technical team waliona kbs ndo mtu sahihi kwa Mido yao na amekuja na kwl ame prove ilo ndo maana unaona game zngne asipokuwepo unajua tu kbs leo Arsenal Partey hayupo.

Mimi shida yng na ww ni kwny ilo neno Low IQ mengine nakubaliana na ww.. Partey kama akiweza kua fit msimu huu Arsenal atashnda game nyng zaid.
 
Kuomba radhi baada ya mtu mzima kuchutama ni jambo la heri neno Low IQ nalikataa kataaa

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kuomba radhi baada ya mtu mzima kuchutama ni jambo la heri neno Low IQ nalikataa kataaa

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Yan ndo mm namwambia hapo kua yy akubal tu ilo neno low IQ aliongea tu kwa kupitiwa lkn ukimwambia mshabik yoyote anajua mpr kua Partey ana low IQ lzm akuone hauko serious na point yako.
 
Na lbd tukubaliane tu Huwez taka Partey awe na composure kama Ya Busquets haiwez kua maana kila Mido anacheza kwa Style yake na ni kama Kante na yy ana aina yake ya uchezaj lkn anakua bora kwa majukumu yale anayo fanya...na lbd nikwambie Arsenal had kuona wanaenda kumchukua Partey Ath. MADRID Pa1 na injury record zake ni itoshe kukwambia Technical team waliona kbs ndo mtu sahihi kwa Mido yao na amekuja na kwl ame prove ilo ndo maana unaona game zngne asipokuwepo unajua tu kbs leo Arsenal Partey hayupo.

Mimi shida yng na ww ni kwny ilo neno Low IQ mengine nakubaliana na ww.. Partey kama akiweza kua fit msimu huu Arsenal atashnda game nyng zaid.
Total Control haitegemei Composure tu, Partey ana composure, pia ni press resistant mzuri sana, total control pale timu ikiwa na mpira tunazungumzia circulation of the ball vitu kama pass selection & pass accuracy.

Btw Arsenal tumeshinda so tuache mabishano, afu mabishano binafsi siku hizi hayanivutii, mabishano mengi unakuta mtu analack knowledge flani flani tu, tushangilie ushindi.
 
Ungekua muungwana ungesema bn kiukwl neno Low IQ sio Sawa kulisema kwa Partey lkn kwa kua unaonekana hutk kuonekana hujui bas sawa.

Enjoy ushind mwana Gunners.
 
Very good results kwa Arsenal unatakiwa Top teams kama hizi unazipiga watoto unakuja kuvimalizia tu Next game vs Liverpool nataka kuona 3 points tunazipata kwa Liverpool mbovu no excuse and then Partey Mungu ampe maisha marefu Arsenal yeye ndiye reason ya kulose vs Manchester United baada ya kukosekanika but kuna mwamba mmoja alidai Partey ana low IQ plz mtu mzima akikosea huchutama omba Radhi kwa tusi kubwa ulilolitoa kuhusu mwamba wa Ghana mimi my self niliomba radhi kwa Arteta last season bro

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Naamini jamaa hatarudia tena haya madai ya LOW IQ maana Kila mtu anamshangaa
 
Erik ten Hag
Kwa mpira upi? Emirates huwezi kuotea sijui counter attack
IMG_20221001_174407.jpg
 
Back
Top Bottom