Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Me sio mshabik wa Gunners.. Lkn nilipita humu nikaona mtu anasema Partey ana low IQ dah namuangalia Partey leo hlf najiuliza huyo jamaa aliyosema ayo alikua serious au utan au uwa anaangalia game gani.Anachokifanya partey uwanjani, sijui nimfananishe na nani pale.
Tutake tusitake huyu mwamba anajua saana mpira,uchawi majeruhi yake.
Angekuja epl mapema na akawa fiti huenda angeingia katika listi ya viungo bora waliopata kutokea pale ligi kuu ya Uingereza.
ya holding dakika ya 20