Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wapigwe kama ngoma
@Will Jr mjiandae tu kisaikolojia leo mmeyakanyaga mnagongwa goli mchomoko kuliko zile alizowagonga Rashidi.
son-arsenal.gif
 
Mimi Naona spurs apigwe bakora nne za nguvu
The gunner mnaonaje hili wazo?

Fabio Vieira mzuri sana

Lakini matusi kutafuta mashimo na kufungua zile codes ngumu ngumu ndio mtaelewa there is only one ODEGARD
 
Acha ndoto za mchana, huo uwezo hamna
 
Leo tumewahi kabisa kabla marehemu hajafa, ili kama ni kuchangia damu tuwepo
 
Leo lazima mpapaswe tena nyie fisi maji , nyie ni wa kupapaswa Tu mkikutana na timu za kiume
 
Back
Top Bottom