[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpira bila ya utani (tambo) na kejeli za mashabiki hua haunogi kabisaaaa.
Ila kiukweli mnaupiga mwingi mpaka tunawaonea wivu ila mtambue tu kutangulia sio kufika.
Kuhusu City wala usiwe na shaka kabisa, timu zinazojifanya unbeaten sisi ndio kiboko yao, hata nyie Arse[emoji205] mnalitambua hilo.
Hivi
hamis 77 amepotelea wapi?
Jamaa hua namkubali sana yule, kama wiki inafika sijamuona humu.
Kwenye mechi kubwa kama za leo sio kawaida yake kabisa kukosena kwenye hili jukwaa.