Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,237
- 5,698
HahaaaaKuna Mkorea mwenzako anawasubiria kwa hamu huko,
tokea juzi anakula karanga wabichi, nazi wabichi na mihogo wabichi. View attachment 2373507
HahaaaaKuna Mkorea mwenzako anawasubiria kwa hamu huko,
tokea juzi anakula karanga wabichi, nazi wabichi na mihogo wabichi. View attachment 2373507
Mara zote hua anatugharimu ila mara nyingi hua hazionekani kwa kua tunacheza na timu ndogo ambazo hata akifanya makosa yale yale ya kujirudia miaka yote hua tunauwezo wa kupambana na kushinda, lakina Gabby ni yule yule miaka yote.Defence haijatulia kiukweli, kuna through balls nyingi zinapita, Gabriel umakini wake uwanjani mdogo, haswa akiwa kwenye box, hakuoaswa kufanya alichookifanya.
Gabriel hakuwa na kosa Xhaka alishindwa kuclear mpira na before Xhaka, Saka alipoteza mpira kwa unnecessary dribble.Defence haijatulia kiukweli, kuna through balls nyingi zinapita, Gabriel umakini wake uwanjani mdogo, haswa akiwa kwenye box, hakuoaswa kufanya alichookifanya.
tupunguze 4-1#COYG
ARSENA 4 spurs 0
Shida ni ile tackling yake, hakupaswa kuifanya pale.Gabriel hakuwa na kosa Xhaka alishindwa kuclear mpira na before Xhaka, Saka alipoteza mpira kwa unnecessary dribble.
Tuliyasema haya asubuhi.Arteta amfanyie sub Jesus asijepata yellow akamiss next game against Liverpool
Me sio mshabik wa Gunners.. Lkn nilipita humu nikaona mtu anasema Partey ana low IQ dah namuangalia Partey leo hlf najiuliza huyo jamaa aliyosema ayo alikua serious au utan au uwa anaangalia game gani.Anachokifanya partey uwanjani, sijui nimfananishe na nani pale.
Tutake tusitake huyu mwamba anajua saana mpira,uchawi majeruhi yake.
Angekuja epl mapema na akawa fiti huenda angeingia katika listi ya viungo bora waliopata kutokea pale ligi kuu ya Uingereza.