Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Ten hagg Hana uwezo waku dominate mpira , ukiacha magoli ya kaunta ,pale kwenu Arsenal tulitawala mpira kwa kiwango kikubwaErik ten Hag
Kwakuwa mashabiki hamfanyii analysis mech mnaangalia matokeo tu utaona Ten hagg bonge la kocha
Kwa timu iliyotumia £250m dirisha moja, halafu inacheza vile ,mnatakiwa muwe macho mapema
Mmemsajiri kutoka Ajax mkiamin atawaletea ule Mpira mzuri wa Ajax
Mlituwin kwa kaunta , but sikuzote hutaweza kushinda kwa ujanja ujanja
Mpira wasasa unahitaji total control ya game ,
Kama unaamin ule Mpira mtakuwa mnashinda ,subiri kesho kwa City,