Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

unajua tumefikaje huku au umekuja na conclusion yako tu ?
Yes,sikutaka kujua mlipoanzia maana hayo majadiliano yenu hapa sio mahala pake...hili ni jukwaa la Arsenal FC ,
Hayo mambo ya simba na yanga yana majukwaa yake pia,hivyo kuendelea kujadili hilo ni kutugawa sisi tuliounganishwa na timu hii...maana hamkawii kuanzisha matawi humu maana inaweza kuzaliwa arsenalkolo vs arsenalUTO.
Ndio sababu nimetamatisha kihivyo.
 
wewe ni nani wa kunipangia pa kuandika ?
 
Dreams eeehh?
Why not. They claim dreams can become a reality. Lets keep dreaming gunners. You never know...🤠🤓☺😅
 
Mkuu ulaya ni ulaya tu

Jana baada ya game ya arsenal, washabiki wa simba walivyoanza kuingia tu, na mimi nikaaga
Siwezi kuumiza macho kwa mipira ya Africa
Camera low quality
Viwanja vibovu
Kubwa zaidi wachezaji hawaujui huo mpira wenyewe
Aiseeeehhhh
 
U
Hata Pep & Pochettino ni watu wa nje ila mitazamo yao ilikuwa positive kuhusu Arteta kwa uelewa wao kimpira.
Umeelewa sijui nilichokizungumzia hapo.. Pep na pochettino hawapo katika nafasi ya Henry juu ya arsenal.
Shida ya henry alikuwa anataka mabadiliko ya haraka, wakati arteta na kina edu wanaenda kwa awamu.
 
Vlahovic na locatelli ilitakiwa wawe kwenye hii Arsenal.

Wangeabudiwa hawa.

Wameenda Juve, Vlahovic hapati game time sawa na Locatelli, Allegri hajui anachofanya na wamepigwa dhidi ya Monza wakiongozwa kila kitu.
Good news
 
Inawezekana hukusikia maneno ya Thierry Henry, alichosema ni kuwa haoni progress yoyote ndani ya timu na ilikuwa last season, je ni kweli Arsenal haikuwa na progress?

Conclusion yangu ni kwamba Henry aliangalia mpira kwa jicho la kishabiki, lakini kwa watu Experts km Pep & pochettino walishaona kuna positive signs toka mwanzo arteta alivyopewa timu.
 
Progress ni jambo pana, sijui alinyambua vipi,
Sasa kama kichogo hakuona progress(kwa mujibu wake) asiseme, sasa kaona kakiri sio vibaya.
 
Vlahovic na locatelli ilitakiwa wawe kwenye hii Arsenal.

Wangeabudiwa hawa.

Wameenda Juve, Vlahovic hapati game time sawa na Locatelli, Allegri hajui anachofanya na wamepigwa dhidi ya Monza wakiongozwa kila kitu.
Kuna wajinga km Computerarsenal walifurahi Vlahovic kwenda Juve kwamba kaikomoa Arsenal, wenye akili waliona anaharibu career yake.

Wajinga haohao walisema Arsenal hawajielewi kwa kumpa kazi Mikel Arteta wakati Allegri mwenye uzoefu hana timu,

sisi tunaomba uzoefu wake uikomboe juve now, muda huwa ni mwalimu mzuri sana.
 
Ndio maana nikasema wenye uelewa wa mpira hasa falsafa, mifumo na mbinu huwa wanaona vitu hata vikiwa underground, ila average fan hawezi kuona, tusimungunye maneno Henry kwenye ukocha hana tofauti na Neville au Roy keane
 
Kuna wajinga km Computerarsenal walifurahi Vlahovic kwenda Juve kwamba kaikomoa Arsenal, wenye akili waliona anaharibu career yake.

Wajinga haohao walisema Arsenal hawajielewi kwa kumpa kazi Mikel Arteta wakati Allegri mwenye uzoefu hana timu,

sisi tunaomba uzoefu wake uikomboe juve now, muda huwa ni mwalimu mzuri sana.
Acheni kujipa matumaini fake na kuanza kuwadharau na kuwatukana wengine, ligi ndefu sana hii yenye jumla ya mechi 38, nyinyi ndio kwanza mmecheza mechi 7 tu na mechi moja tayari mmeshapigwa, mineno kibaaaooo inawatoka utafikiri mmemaliza mzunguko wa kwanza, ninakuhakikishia kuna uwezekano mkubwa Juventus kuchukua kombe la ligi kuliko uwezakano wa Arsenyoko kuingia top 4.
"Muda huwa ni mwalimu mzuri sana"
Hii nukuu yako naomba uishi nayo baada ya muda si mrefu nitakukumbusha.
 
Vlahovic na locatelli ilitakiwa wawe kwenye hii Arsenal.

Wangeabudiwa hawa.

Wameenda Juve, Vlahovic hapati game time sawa na Locatelli, Allegri hajui anachofanya na wamepigwa dhidi ya Monza wakiongozwa kila kitu.
Castr hebu kua na adabu basi, yaani Vlahovic na locatelli waache timu za maana halafu waje kwenye hio Academy yenu wacheze na watoto wa miaka 15 kweli????
 
Back
Top Bottom