Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimependa maneno ya kocha Thomas Frank wa Brentford baada ya game. Anavyotusifia Arsenal na kutuita title contender kwa Mtazamo wake, halafu anachambua ile pass ya Xhaka kwamba ilipigwa vizuri sana. Anasema Arsenal ilionesha kipindi cha pili kwamba kwa nini ni timu kubwa. Nahodha wao na mchezaji muhimu sana Odegaard hakuwepo, akacheza Vieira mwenye miaka 22 au 21 hivi kama mbadala wake ambaye amegharimu kitu kama £35m. Anasema ndio maana alionesha ubora wake na utofauti pale alipokuwa nje ya box la timu yake.

Itoshe kusema Ulaya Ulaya tu. Kocha anajua mpaka thamani za wachezaji wa timu pinzani na hajadanganya kitu. Na ananyoosha maelezo.
Mkuu ulaya ni ulaya tu

Jana baada ya game ya arsenal, washabiki wa simba walivyoanza kuingia tu, na mimi nikaaga
Siwezi kuumiza macho kwa mipira ya Africa
Camera low quality
Viwanja vibovu
Kubwa zaidi wachezaji hawaujui huo mpira wenyewe
 
FOOTBALL IDENTITY FOOTBALL TRADITION ARTETA BALL NA BUSARA ZA GWIJI

[emoji1600] Niliwahi kuongea mara kadhaa football identity (utambulisho kiuchezaji) ni jambo la msingi ambalo arteta alitakiwa kulijenga

[emoji1600] sababu mwishoni mwa unai team ilikuwa inacheza tu bila utambulisho tunacheza mpira aina gani

[emoji1600] uchezaji wa aina ile ni ngumu sana kukupa unachohitaji technicall una approach vipi mchezov tacticall una occupy vipi space

[emoji1600] defending shape, defending transition , ball progression, passing pattern nakadhalika vitu vyote hivi vinahitaji

[emoji1600] wachezaji sahihi na ndio maana Arteta ili apate mpira wake alikuwa anahitaji ilimbidi kufanya overhaul ili kupata wachezaji ambao kimsingi watampa tacticall and technicall balance kupata mpira wake

[emoji1600] mfano partey anamtumia kama orchestrator nikiwa maana kiungo anae cheza akitokea chini pia mwenye ball progression nzuri

[emoji1600] arteta kamleta ben white sababu alihitaji ball playing CB akamleta odegaard sababu alihitaji code cheater uwanjani mtu anaeweza kubreak line

[emoji1600] kamleta viera nadhani leo umejionea technical player ambae ana verstility anakupa machaguo mengi kimbinu

[emoji1600] kaletwa zinchenko unaweza kuona anavyokuwa anacheza asa inverted full back anatupa techicall vision kubwa kwanzia passing lane adi passing angle kufanya tupate space kushambulia maeneo mengi

[emoji1600] kamleta jesus nadhani unajionea sio striker tu bali proveder pia anakimbia muda wote kukupa balance kimchezo bila kumsahau ramsadale ball distribution yake ni nzuri mno

[emoji1600] yote haya yanafanya sasa tunaanza kuona kile arteta aliitaji unajua alihitaji nini POSSESSION BASED FOOTBALL mwanzo alishindwa sababu technically wachezaji waliokuwepo wengi hawakuweza deliver 100% mahitaji

[emoji1600] sasa msimu huu nazani kila mtu anajionea walau 60% mpira arsenal ancheza ni quality football wazungu usema fruidity football

[emoji1600] ata game united tuliyopoteza team hiakucheza vibaya ilipokuwa na mpira defensive weakness ndio zilituua

[emoji1600] kwa mazingir haya naendelea kusema Trust the process ata kama sio arteta atakae tufikisha nchi y ahadi ila kajenga msingi imara

amigo adios hermanos
 
Mkuu ulaya ni ulaya tu

Jana baada ya game ya arsenal, washabiki wa simba walivyoanza kuingia tu, na mimi nikaaga
Siwezi kuumiza macho kwa mipira ya Africa
Camera low quality
Viwanja vibovu
Kubwa zaidi wachezaji hawaujui huo mpira wenyewe
Moja ya michango ya hovyo mno kuwahi kutokea
wewe sio shabiki wa mpira
unafuata mkumbo
shabiki wa mpira hata akiona watoto tu wanacheza atasimama aangalie hata kwa dk 10

dstv kwako inakushinda unadharau mpira wetu
muwe mnaficha ujinga
 
Japo Tulipoteza dhidi ya Man u ila ule mbinyo tuliompa man u hasa kipindi Cha pili

Umemfanya Thiery Henry ambaye alikuwa anamponda Sana Arteta akitaka timu apewe yeye na pia auziwe yule jamaa yake wa sporty fy , AMKUBALI ARTETA na amekiri sasa anaiona Arsenal ya Arteta imejengwa
Si dhambi mtu akikosea ukampa makavu na akipatia ukamsifia, ni kweli arsenal imeimarika, hapo nyuma hata mimi nilikuwa na mawazo huenda kama ya Henry, arteta alionesha dalili nzuri lakini alikuwa na wachezaji viazi kitu kilikuwa kinamuangusha, huenda th14 alikuwa anamtaka bosi wa Spotify ili aje kuwekeza na kusajili fasta fasta top players... Ila kumbe mipango ya aterta ni tofauti anaijenga timu kwa awamu.
 
Moja ya michango ya hovyo mno kuwahi kutokea
wewe sio shabiki wa mpira
unafuata mkumbo
shabiki wa mpira hata akiona watoto tu wanacheza atasimama aangalie hata kwa dk 10

dstv kwako inakushinda unadharau mpira wetu
muwe mnaficha ujinga
Kumbe na wewe kakukera kama kama alivyonikera mimi.
 
Kumbe na wewe kakukera kama kama alivyonikera mimi.
Yaani yupo afrika na anaponda uafrika wake hawa wakibaguliwa sijui watajisikiaje maana kashaanza kujibagua
anajiona special kwenye kundi la analoliona ni takataka
 
Moja ya michango ya hovyo mno kuwahi kutokea
wewe sio shabiki wa mpira
unafuata mkumbo
shabiki wa mpira hata akiona watoto tu wanacheza atasimama aangalie hata kwa dk 10

dstv kwako inakushinda unadharau mpira wetu
muwe mnaficha ujinga
Bongo, na afrika kwa ujumla mpira ni bado sana 98%
 
Yaani yupo afrika na anaponda uafrika wake hawa wakibaguliwa sijui watajisikiaje maana kashaanza kujibagua
anajiona special kwenye kundi la analoliona ni takataka
Ndio shida ya mtu mweusi, hapendi kuambiwa ukweli

Yanga vs simba

Spurs vs arsenal

Pata picha, and see difference
 
Ndio shida ya mtu mweusi, hapendi kuambiwa ukweli

Yanga vs simba

Spurs vs arsenal

Pata picha, and see difference
Mkuu, hata mimi siangalii hizo mechi. Sifurahii wala kuhamasika, naangalia kinachofurahisha nafsi yangu. Hata simba vs yanga huwa siangalii.
 
Tukianza simba na yanga
Timu miaka nenda hazina viwanja

Analysis zinazofanywa na mpira unaochezwa ni mbingu na ardhi

Alafu, washabiki wa hii simba na yanga wanaongea sana. Kuliko uhalisia
Yani mpo kama dishi limeyumba hivi
Chelsea ana kiwanja ?
milani ana kiwanja
inter ana kiwanja ?

kuhusu analysis huo ni mtizamo wako

Dishi kuyumba au tutoyumba as long as havunji sheria ni sawa tu

hivi ushawahi kuwaangalia wale AFTV enzi zile wale ndo madishi yalikuwa yameyumba haswa wale jamaa walikuwa wanaka arsenal ifungwe ili wapate hela
 
Mkuu, hata mimi siangalii hizo mechi. Sifurahii wala kuhamasika, naangalia kinachofurahisha nafsi yangu. Hata simba vs yanga huwa siangalii.
wewe hatuna tatizo na wewe
kitu usichokipenda wewe usikitie ubaya kisa hukipendi
 
Mkuu, hata mimi siangalii hizo mechi. Sifurahii wala kuhamasika, naangalia kinachofurahisha nafsi yangu. Hata simba vs yanga huwa siangalii.
Simba vs yanga

At the same time

Man u vs Newcastle

Bora niwaangalie wanangu nyumbu anavyoteseka

Kushabikia hizo timu simba na yanga, sometimes naona kama najishushia heshima yangu mimi mwenyewe
 
Chelsea ana kiwanja ?
milani ana kiwanja
inter ana kiwanja ?

kuhusu analysis huo ni mtizamo wako

Dishi kuyumba au tutoyumba as long as havunji sheria ni sawa tu

hivi ushawahi kuwaangalia wale AFTV enzi zile wale ndo madishi yalikuwa yameyumba haswa wale jamaa walikuwa wanaka arsenal ifungwe ili wapate hela
Kupitia, inter, Milan
Ndio unataka kuubaliki ujinga unaoendelea hapa bongo
Unajua sababu za inter na Milan kutokua na viwanja?

Analysis haviendani na uchezaji uwanjani
Kifupi, hawajui kucheza mpira
AFTV wale n waandishi wa habari kama waandishi wengine, wao anatafuta airtime tu
 
Kupitia, inte, Milan
Ndio unataka kuubaliki ujinga unaoendelea hapa bongo
Unajua sababu za inter na Milan kutokua na viwanja?
Viwanja wanavyo au hawana ?
hata hivyo kutokuwa na uwanja haimaani ni ujinga au ni wajinga yanga walikuwa na uwanja wao wa kaunda
Gwambina wana uwanja wao chelsea hawana
kwa mantiki yako chelsea kwa Gwambina
chelsea ni wajinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom