Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,081
Kiuhalisia ila ukweli kabisa ode ni urojo urojo hata kupiga ni bahati mbaya mpaka final touch, kazi yeye ni passing kitu kinacost Kuna maeneo anakosa maamuzi rejea mechi ya man UTD jamaa katika boksi hapigi kapiga anataka kupiga pasiTumepata mtu wa kuziba nagasi ya odergad vizuri, fabio yuko vizuri.
Ndo maana naona bora ya fabio na xhaka maana hao wanaweza kupiga mda wowote.
