Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Acheni kujipa matumaini fake na kuanza kuwadharau na kuwatukana wengine, ligi ndefu sana hii yenye jumla ya mechi 38, nyinyi ndio kwanza mmecheza mechi 7 tu na mechi moja tayari mmeshapigwa, mineno kibaaaooo inawatoka utafikiri mmemaliza mzunguko wa kwanza, ninakuhakikishia kuna uwezekano mkubwa Juventus kuchukua kombe la ligi kuliko uwezakano wa Arsenyoko kuingia top 4.Kuna wajinga km Computerarsenal walifurahi Vlahovic kwenda Juve kwamba kaikomoa Arsenal, wenye akili waliona anaharibu career yake.
Wajinga haohao walisema Arsenal hawajielewi kwa kumpa kazi Mikel Arteta wakati Allegri mwenye uzoefu hana timu,
sisi tunaomba uzoefu wake uikomboe juve now, muda huwa ni mwalimu mzuri sana.![]()
"Muda huwa ni mwalimu mzuri sana"
Hii nukuu yako naomba uishi nayo baada ya muda si mrefu nitakukumbusha.