Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

After a long period
Now we gotta chance to see sexy footbal
Screenshot_20220918-130457.jpg
 
Nahisi kuna mchezo nyuma ya pazia unaendelea
Martinel, Jesus, Gabriel
Hapo edu katia ngumu wachezaji waziende kwenye hiyo mechi ya kirafiki

Zinchenko unaambiwa kaumiwa, na timu ya taifa hatakuwepo

Odegard unaambia nae kajichuna kidogo kwenye mguu, leo hatakuwepo na timu ya taifa pia

KUNA MCHEZO UNAENDELEA

Unaweza kusikia baada ya game partey nae kaumia ili abaki London
Kwa mawazo kama haya ndio maana watu wengi hua wana reason IQ ya mashabiki wa AsaniAli.
Watu kama nyie ndio mnaosababisha mpaka timu yenu kuitwa Milembe Fc.
 
Niko hapa leo, nasikia mitaani watu wansema kuna mgonjwa mahututi hapa muda wowote atakata roho, nimewahi siti
Namuamini sana Toney na Mbeumo pia naamin9i Gabriel atatupa penalti
 
Back
Top Bottom