Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
wamekusikia bossArsenal ongezeni magoli
wamekusikia bossArsenal ongezeni magoli
Wewe kabebishane tu kule selfika, huku unajichora tu mzeiya. Gunners sio wa mchezo mchezo..Sisi kama Brentford tuna jambo letu leo hatutawaangusha mashabiki zetu tutapiga pale pale kwenye mshono viva Brentford![]()
Nadhani unamzungumzia mgonjwa wako ma blauzi wa daraja lililosombwa na maji.Niko hapa leo, nasikia mitaani watu wansema kuna mgonjwa mahututi hapa muda wowote atakata roho, nimewahi siti
Namuamini sana Toney na Mbeumo pia naamin9i Gabriel atatupa penalti
Ww mzee kuwa na adabu 😂😂😂😂Wewe kabebishane tu kule selfika, huku unajichora tu mzeiya. Gunners sio wa mchezo mchezo..






Wameanza tena hukuPartey akiwa calm ni another level, tatizo lake ni consistency, performance km hii hawezi kukupa week in week out. That's why nasemaga jamaa analack IQ.



Cry moreAsanteni... Ila hapo kileleni mpo kwa muda
Nzi wa cheltako labda na liverpunga sio timu ya dunia mbabe wenu.Nzi wote wamekimbia