Mimi kinachoniudhi ni hii tabia ya kufika hadi ndani ya box lakini hatufanyi attempt.Good performance though sijaridhishwa na Ben White, anapiga sana back passes.
Yaani hutawasikia kabisa wakisifia timu inapocheza vizuri au kushinda ila timu isipofanya vizuri wanajitokeza kuchambua soka na kutoa ushuhida, mara, ooooh!.. tulisema!.. yaani ni kama vile hawafurahii ushindi wa timuWale mashabiki wetu wanaopenda kusema timu haikusajili vizuri, mara oh tuliwaambia.. hawataonekana sasa hivi mpaka timu ije kupoteza tena.
Arteta sent a message there, "If you're talented you can play for Arsenal regardless of age"Ethan Nwaneri...go on child. EPL debut at 15. That's record breaking
Huyu dogo ni raia wa nchi gani mkuu!Ethan Nwaneri...go on child. EPL debut at 15. That's record breaking
Hilo jina tuinaonesha Ni asili ya Nigeria , Ni Kama saka, but wanakuwa wamezaliwa EnglandHuyu dogo ni raia wa nchi gani mkuu!
M naamin Partey angekuwepo wasinge tufunga wale nyauHivi nyumbu walitufungaje mandondocha yale dah....uchawi upon ktk soka
Mi mwenyewe sielewi ilikuwaje!!?Hivi nyumbu walitufungaje mandondocha yale dah....uchawi upon ktk soka
Reliance kwa Partey ni kubwa, tukubali tu kuwa mid yetu bila huyu jamaa inakosa vitu muhimu.Hivi nyumbu walitufungaje mandondocha yale dah....uchawi upon ktk soka
Huo ndio ukweli, anacho ofa pale wengine wanashindwa.Reliance kwa Partey ni kubwa, tukubali tu kuwa mid yetu bila huyu jamaa inakosa vitu muhimu.