Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Angalao wewe akili kubwa kuliko arse8 woote, mpaka kakocha kenu kale kanarukaruka kama kwaya master. Hao miamba umetaja hapo wanatingisha dunia na hata unahodha msaidizi hawapati. Kwako hapo Òodegard aliwahi kucheza mpira wa maana wapi mpaka umpe unahodha? Pale Man U kuna paund Mil 90 kama 3 hivi haziwezi kupata unahonda na wanaanzia benchi.
Arse8 wana masihara sana eti wanataka kombe alafu kiungo Odergaard, forward Saka na wanajiona wana timu eti
 
HUNA AKILI.


Sijatoa povu ila nilikuwa nakuambia ukweli,post yako inayosema kuwa arsenal imekutana na timu dhaifu ndio maana ipo hapo ilipo ndio imenifanya nikwambie HUNA AKILI.

na narudia tena huna HUNA AKILI.

Muulize PEP kilichomkuta jana hii ni EPL ....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Wewe na yeye nani hana akili sasa
 
Nafikiri amemaanisha hauna akili kwa hiyo hoja ya kipimbi ya kudai Arsenal kacheza na vibonde.

Kati ya hivyo vibonde unavyovisema viwili vimemnyima point Liva.

Of course HUNA AKILI
Nyie mashabiki wa Arse8 ndio hamna akili, timu haijawahi kuchukua EPL tangu mtoto anazaliwa mpk ameoa sasa lkn bado mpo tu na huu upuuzi wenu, HAMNA AKILI.
 
View attachment 848157

Full name: Arsenal Football Club

Nickname(s): The Gunners

Founded: 1 December 1886

League: Premier League

Website: arsenal.com


View attachment 848163
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch 105m x 68m


View attachment 1538867
Owner: Stan Kroenke

View attachment 848173
Chairman: Sir John Chippendale "Chips" Lindley Keswick

View attachment 1511007
Head Coach: Mikel Arteta​


Arsenal Trophies:
League Tittles: 13

First Division/Premier League Champions: 13 (1930/31, 1932/33, 1933/34, 1934/35, 1937/38, 1947/48, 1952/53, 1970/71, 1988/89, 1990/91, 1997/98, 2001/02, 2003/04)

European Trophies: 1
UEFA Cup Winners': 1 (1993/94)

FA Cup Trophies: 14 (1929/30, 1935/36, 1949/50, 1970/71, 1978/79, 1992/93, 1997/98, 2001/02, 2002/03, 2004/05, 2013/14, 2014/15, 2016/17, 2019/20)

League Cup: 2 (1986/87, 1992/93)

Community Shield: 15
FA Charity Cup/FA Community Shield: 15 (1930, 1931, 1933, 1934, 1938, 1948, 1953, 1991, 1998, 1999, 2002, 2004, 2014, 2015, 2017)

Other Trophies
League Centenary Trophy: 1 (1988)
Inter-Cities Fairs Cup: 1 (1969/70)


View attachment 1542905
Arsenal Football Club celebrate as they Crowned The Emirate FA Cup Winners(2020)


View attachment 1542904
Arsenal Premier League Timetable of 2020/21

Follow this thread for team updates!
ARSENAL kurudi nafasi yake ya 6 kila mwaka, yaani ni suala la muda tu.
 
Naona mmejazana humu kuleta porojo kibao.. na inashangaza baadhi ya mashabiki wa arsenal kusema timu ni mbovu na usajili haukuwa mzuri..

Arsenal kafungwa kawaida katika hali ya mchezo na hakuna sababu yoyote ya kuogopa sana. Timu ilijisahau na kuwa too aggressive baada ya kusawazisha goli na matokeo yake kaunta attack zikawezekana.

Kama Magalhanes na saliba wangekuwa wanabaki pale kabla ya circle ya katikati upande wao wala timu isingepoteza. Ni somo zuri wamepata na sasa tusonge mbele.

Matokeo ya mechi yanaweza kuwa yoyote kwenye zile game ngumu kama city, liva na tot.. apart from that sioni arsenal akipoteza point any time soon.

Ubingwa wa epl uko palepale emirates..🔥🔥🔥
 
Naona mmejazana humu kuleta porojo kibao.. na inashangaza baadhi ya mashabiki wa arsenal kusema timu ni mbovu na usajili haukuwa mzuri..

Arsenal kafungwa kawaida katika hali ya mchezo na hakuna sababu yoyote ya kuogopa sana. Timu ilijisahau na kuwa too aggressive baada ya kusawazisha goli na matokeo yake kaunta attack zikawezekana.

Kama Magalhanes na saliba wangekuwa wanabaki pale kabla ya circle ya katikati upande wao wala timu isingepoteza. Ni somo zuri wamepata na sasa tusonge mbele.

Matokeo ya mechi yanaweza kuwa yoyote kwenye zile game ngumu kama city, liva na tot.. apart from that sioni arsenal akipoteza point any time soon.

Ubingwa wa epl uko palepale emirates..
Utasubiri mpk uzeeke
 
Nyie sikilizeni ushauri wa computerarsenal kila siku anawaambia timu yenu mbovu miaka nenda rudi hamsikii, mnajipa stress za bure kabisa. We angalia Man u huwa tunalalamika lkn usajili huwa unaonekana ni wa kueleweka, sasa nyie kila siku mnachukua vitoto mnavipandisha alafu vikiiva vinaondoka, unajua kwnn? Ni kwasababu Arse8 ni timu ndogo kama unavyoona Crystal palace, Wolves, Birmingham au West Ham.
 
Back
Top Bottom