Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal leo mmeyakanyaga mmedandia mtumbwi wa vibwengo nyie kisoka bado mjakomaa tukutane hapa baadae mje kulalamika sijui leo lawama mtampa nani.

hatutaki habari sijui za partey leo ajacheza leo ni kibano kweri kweri.
 
De Gea checking if Xhaka is in the Arsenal squad🥶
IMG_20220904_132802.jpg
 
NAMNA ARSENAL TUNAVYOCHEZA NA KUPRESS

FOOTBALL SET UP NA BUSARA ZA GWIJI

✍🏼 kama ilivyo kwa ushambuliaji mfano 3-2-5 mfumo tunatumia kushambulia kwa lugha zao wanaita build up formation

✍🏼 hoja msingi ya nataka kuzungumza pressing formation ambayo team inaitumia ukabaji

✍🏼 Arsenal ikiwa haina mpira mara nyingi inatumia 4-4-2 kufanya pressing na muda inacheza 4-2-3-1 nadhani unanielewa

✍🏼 kwa misingi hiyo positioning ya baadhi wa wachezaji team ikiwa haina mpira zinachange ili kutengeza defensive block lines

✍🏼 ndio maana nilianza taja mfumo kushambulia 3-2-5 ambao tunatumia sasa team ikipoteza mpira hapa fasta team inachange formation shape

✍🏼 zincheko anarudi LB au tieney na kufanya back 4 alafu partey ana xhaka au sambi na xhaka wanacheza kama double pivot alafu saka na martinell odegaard wanakuwa line sawa kiukabaji na jesus anabaki mbele kupress

✍🏼 au odegaard ana sogea juu saka na martinell wanasogea karibu viungo na kutengeza defensive block ya 4-4-2

✍🏼 angalia picha hapo chini game Aston villa namna tulivyokuwa tuna press kwenye formation 4-2-3-1

JE MAN U LEO ATAANZIA MPIRA KWA KIPA?

amigo adios hermanos
FB_IMG_1662288282031.jpg
 
HUNA AKILI

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Oldtraford mmeshinda mara moja tu ktk mechi 15 za hivi karibuni mlizocheza, ni punguani tu anayebishia takwimu na uwache kutokwa povu ukielezwa ukweli, utakufa mapema na huu ni ushabiki tu

Mmeshinda 1-0 November 2020
Droo 5
Lost 9

Mikel Arteta urges Arsenal to forget poor recent record at Old Trafford​

Mashabik Wa Manchester United Mjue Leo Tutawakanda Kama Kawaida Yetu,Litapigwa Ball La Electric, Pressing,Atasakamwa Mtu Dakika Zote Tutashambulia Kwa Kimbunga Na Tufani..!🔥🙌
 
Oldtraford mmeshinda mara moja tu ktk mechi 15 za hivi karibuni mlizocheza, ni punguani tu anayebishia takwimu na uwache kutokwa povu ukielezwa ukweli, utakufa mapema na huu ni ushabiki tu

Mmeshinda 1-0 November 2020
Droo 5
Lost 9

Mikel Arteta urges Arsenal to forget poor recent record at Old Trafford​

Nafikiri amemaanisha hauna akili kwa hiyo hoja ya kipimbi ya kudai Arsenal kacheza na vibonde.

Kati ya hivyo vibonde unavyovisema viwili vimemnyima point Liva.

Of course HUNA AKILI
 
Taarifa: Arsenal anaenda kulipiza kisasi cha 2011.. FT MU 0 Ars 9.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Oldtraford mmeshinda mara moja tu ktk mechi 15 za hivi karibuni mlizocheza, ni punguani tu anayebishia takwimu na uwache kutokwa povu ukielezwa ukweli, utakufa mapema na huu ni ushabiki tu

Mmeshinda 1-0 November 2020
Droo 5
Lost 9

Mikel Arteta urges Arsenal to forget poor recent record at Old Trafford​

HUNA AKILI.

Sijatoa povu ila nilikuwa nakuambia ukweli,post yako inayosema kuwa arsenal imekutana na timu dhaifu ndio maana ipo hapo ilipo ndio imenifanya nikwambie HUNA AKILI.

na narudia tena huna HUNA AKILI.

Muulize PEP kilichomkuta jana hii ni EPL ....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri amemaanisha hauna akili kwa hiyo hoja ya kipimbi ya kudai Arsenal kacheza na vibonde.

Kati ya hivyo vibonde unavyovisema viwili vimemnyima point Liva.

Of course HUNA AKILI
Nashukuru sana mkuu,yaani kama ulikuwa ktk kichwa changu....kama hajaelewa hapa tena basi.....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom