Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Toka umeanza kusumbua humu na acc zako za milango mitatu huchoki wala hukui, wote tunajua we ni shabiki la Man u unayejiquote na acc zako mbilimbili. This nigga is dumbass walah.
Wewe mbwiga computerarsenal ameuliza swali lenye akili, badala utoe jibu la kueleweka unaanza kumshambulia muulizaji.
Tatizo lenu nyie misukule ya Arteta hua hampendi kuambiwa ukweli, akili zenu ni kuimba mapambio tu ya kusifu.
 
Why kila season hali inakuwa hii?mbona magiant wenzetu wanaweza why not us?

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Daaahhh we jamaa hayo ni maswali magumu sana kujibiwa na hii misukule ya Arteta, sanasana wataishia kukutukana tu na kukuita ni mamluki.
computerarsenal pamoja na hamis77 ni washabiki pekee wa Arsenal wenye IQ kubwa hapa jukwaani, huwa nawasikitikia sana kwa ukubwa wa akili zao sijui imekuaje wakakosa timu za maana za kushabikia mpaka wakaamua kujichanganya na haya Mazombi ya Arteta.
Yaani humu watu hawaruhusiwi ku reasons, hapa ni mwendo wa kusifu tu na kuabudu fullstop.
Hebu tembeleeni majukwaa ya Chelsea, Man United, Liverpool n.k muone jinsi mashabiki wanavyo kichafua pale kunapotokea mizinguo kwenye timu, ila huku ukihoji kidogo tu basi wewe ni mamluki.
 
Back
Top Bottom