Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,795
Kuongoza ligi kote kujisifu kumbe mpo uropa arsenyeto 

















Hivi we jamaa uko timu gani?? Maana kote unaponda sio Man United, Chelsea, Liverpool, Arsenal, kote unaharisha tu.Kuongoza ligi kote kujisifu kumbe mpo uropa arsenyeto![]()
Mlimpush Eriksen mlitaka refa awafanyaje?Hope umeliona.
Kuna ambaye hajafungwa?wewe mwenyewe hujanyukwa ?chuki itakuua
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
United wamerudia tabia ya kugawa bahasha kama enzi za Ferguson.Mlimpush Eriksen mlitaka refa awafanyaje?
Ni kweli refa alibase sana upande wa UTD lakini kwenye hiyo faulo ya Eriksen alikuwa tu sawa.
Cheltako tunamuachaje kumgonga?Timu yenu,ya kawaida tu... Hamna maajabu Kenge nyie. Big match mtakayoshinda labda ya Liverpuru.

The future is bright| FOCUS
Arsenal's 19-year-old winger Marquinhos had a debut to remember in their 2:1 win over FC Zürich:
69' played
52 touches
️ 1 goal
2 shots/1 on target
1 assist
2 big chances created
4 key passes
32/37 accurate passes
8.9 SofaScore rating
#UEL https://t.co/DGtuNks2qt
