Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mumewabutua vibonde hawa hapa chini mkafura kichwa eti mna timu, tukiwaambiaga hapo hakuna timu ni academy mnakasirika, wakisha komaa vizuri mnawafanyia sendoff ili waende kuwatumikia wanaume wao
  1. C. Palace nafasi ya 15
  2. LCFC nafasi ya 20
  3. Bonamouth nafasi ya 13
  4. Fulam nafasi ya 10
  5. Aston Villa nafasi ya 17
 
Mliweka na mipango ya mechi 10 mbele[emoji16][emoji16] katimu kana kelele sana yani.

Soma iyooo.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unavyo mpa lawama Aaron Arsenal utadhani yeye ndio Arteta ama Edu.

Huyo jamaa ni shabiki tu kama wewe hana maamuzi kwenye timu.
 
Kwahiyo tunakubaliana kua kufungwa kwa Arsenal kunasababishwa na #Aaron
 
Ndio umeongea nn hapa?mbona hueleweki....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Isikufanye uamini kuwa una kikosi kibaya ila ikukumbushe kuwa, una timu ya kawaida sana.
Timu gani ambayo haifungwi?usiwe zuzu kupitiliza,hayo ndio matokeo ya football,
Man city wenyewe ambao ni bingwa watetezi walishapigwa na ubingwa wakachukua....sasa iweje kwa ARSENAL iwe ni big deal?au mlikuwa mnaogopa kurudi kwa UNBEATEN ERA hahahahahahaha acheni chuki..

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Kama refa angekuwa fair yule mbilikimo wenu asingemaliza game,then lile maguire lilishasababisha tuta ...mbeleko imewasaidia....na goli halali mmekataa mtakuja magetoni

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…