Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Za ndani kabisa had jion Douglas Luiz atakuwa mchezaji wa arsenal

Astonvilla wameshapata mbadala wake

Jana alipofunga goli hakushangilia , Jana aliongea na Edu na Jesus , kifupi Dili liliisha Jana ,now Arsenal wanamalizana na astonvilla muda sio mrefu

Leander Dendoncker to Aston Villa, done deal and here we go. ÂŁ13m fee agreed, medical in the afternoon. First call @SamiMokbel81_DM. [emoji599][emoji837] #AVFC #DeadlineDay

Personal terms are now agreed too. https://t.co/vNLi2QZHxJ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] AsaniWali mnapenda sana kujifariji na tetesi za michongo.
Nyie dirisha lenu lilishafungwa baada tu ya kumsajili Zinny.
Kroenke hana pesa za kuchezea chezea hovyo, tena bahati yenu sana kumpata Jesus na Zinny maana msimu huu alikua ametenga bajeti ya kumsajili Makwinyoz peke yake.
 
tuna saa moja tu,naona ishu ya yuri .......
douglas luiz naye ni ........
hadi preahaa
 
Hakuna usajili wowote hapa, RW hakuna mbadala kabisa kule bora eneo hilo lokonga atajizoazoa had partey akirud ila upande ule wa Saka. Daaah ndo hatari
 
Daaaah!!!
Villa wametupiga na kitu kizito sanaaaaaa, usoni.
 
Kuondoka kwa deadwoods kwangu mimi ni bora zaidi

Game ya nyumbu hapo kesho kutwa, kwa upande wetu haina pressure kubwa. Coz atapigwa tu


Partey hachukui muda mrefu atarudi kikosin

Tutavutana hivyo hivyo, hadi January ndio tutajua mashimo gani tuyajazilizie

By the way, nipo pamoja na Edu & Arteta

Trust the process

#Coyg
 
Granit Xhaka na Sambi wanatosha sana ku dominate katika eneo la middfield endapo Sambi ata maintain Kama mechi ya juzi.

Sioni Nyumbu akitoka kabisa[emoji16]..

Yule bladifakeni lazima afe pale pale kwenye matofali ya kuchoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom