Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aaron Arsenal uje utupe moyo nikikwambia punguza mahaba kuliko facts unanichamba come on bro njoo tufariji kwa maneno matamu

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Huwa wanaongeaga tu, siku tukiweza kuzifunga top teams hapo ndio naweza kusema tuko vizuri, kwa sasa tumetengeneza timu nzuri ila kuna maeneo bado kidogo.
 
Huwa wanaongeaga tu, siku tukiweza kuzifunga top teams hapo ndio naweza kusema tuko vizuri, kwa sasa tumetengeneza timu nzuri ila kuna maeneo bado kidogo.
Bro ERoni nakuelewaga sana so nataka wale fans wanipe utofauti wa this season na last season ni upi?last season tulipoteza away kwa old Trafford na leo tumepoteza old Trafford so kweli tunaweza kupata 3 points Etihad Anfield au Tottenham Hotspur ground this season?kwa defence hii?

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Mpira una matokeo matatu

Mpira ni mchezo wa makosa

Tuliutawala mchezo, lakini bahati haikua upande wetu

#COYG
 
Niliposema mechi tano mlizoshinda zote ni dhidi ya vibonde nikatukanwa hapa na hapo mashabiki mandazi wasiojua dynamics za mpira
 
Mna backline mbovu sana, mtafungwa sana agansit team yoyote itakayoamua kushambulia kwa counter.

Team yenu itaonekana nzuri iwapo tu timu pinzani itaingia na wazo la kupark bus, hata leo milifunga lile goli moja baada ya Utd kurudi nyuma (kama jinsi ambavyo zile team 5 mlizifunga).
 
Wewe unasemaga ukweli halafu plastic fans wanakuita mamluki
 
Wewe ndo mshabiki wa arsenal pekee ambaye sio mnafiki. Nyeusi ni nyeusi toka nwanzo wa ligi mpaka mwisho japo washabiki wenzio HAWAKUELEWI.
Mimi computerarsenal hua namuelewa sana, huyu jamaa ni yule mtu anaependa kusema ukweli mchungu bila ya kupepesa macho, watu wa namna hii hua hawana unafki kabisa, ukiishi nae halafu ukizingua hua anakuface direct na anakuchana live kua hapo umezingua, sio wale wanaokuchekea halafu ukimpa mgongo tu anaanza kukusengenya kwa watu.
Mtu mwingine humu jukwaani anaejielewa hua ni hamis 77 ila hizo Punda nyingine zilizobaki ni misukule ya Arteta hio huiambii kitu ikaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…