Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu zote mlizocheza nazo ni vibonde na Ninyi mnajua hili. Sasa. Ngoja muanze na timu kubwa na sio mbolea
Astonvilla ,fulham, palace Ni vibonde ?

Wewe kina Leeds ,soton waliokufunga Ni wakubwa?

Kuwen na heshima chalkenge

Manchester City draw against Aston Villa and a Liverpool draw against Crystal Palace.

Two teams Arsenal have beat very comfortably this season.
 
Huenda kesho Midfield tukaanza na Zinny & Xhaka

Kwasasa namba 6 ya Arsenal inahitaji Mambo makuu yafuatayo ili uimudu

Uwe presser resistant

Uwe unajua kupiga pass kwa usahihi hasa za mbele

Uwe unajua kulink na back 4 , hasa kufanya buildup pale tunapoanzia nyuma mashambulizi


Kwa sifa HIZI ndio maana Partey alipozimasta akafanikiwa

Kwa sifa HIZI ndio maana sio kila DM Kama kina Toreira,Bissouma wanafaa kuchezea arsenal

Kesho Arteta ana option ya kuanza na Albert & Xhaka
Zinny & Xhaka

Mechi mbili zilizopita wamecheza Elneny na Albert na wamefanya vzr Hilo Eneo kwa kuzingatia sifa nilizotaja hapo juu

Swala la ukabaji sio la mtu mmoja ,Ni structure nzima ,thus why tunaona kwenye kukaba tunatumia 4-4-2 au 4-4-1-1

Jesus ,saka , Martinell huwa wanarud kukaba ,Wana press

Arteta kasema swala la kushinda OT halitakuwa ajabu na geni sababu ameshashinda hapo Toka aje Arsenal


COYG
 
Niwakumbushe tu kesho tunawapasueni kama papai.
Tomorrow we will be wearing the black kits for Man united’s funeral.
IMG_20220903_224324.jpg
 
Arsenal 3 Man U 1. Sunday 4th Sept, 2000hrs


JESUS IS LORD
Man u wanacheza pale Kati na Eriksen na Kiungo mmoja mkabaji either Mactominay au Casemiro , na juu wanakuwa na Bruno Kama namba 10, winga zao huwa sio nzuri ku track back


Maana yake Hawa jamaa Ni rahisi Sana kuwatawala Kiungo na kuwafunga , Kama tutatumia nafasi mapema na kuwavuruga

Silaha yao kuu Ni counter attack

Man u mbele ya Arsenal yenye Martinell , Jesus na Saka kamwe hawez kuanzia mpira nyuma tutamuua

Arsenal tayari tuna system ya kupress zipo mbili ipo ya wanaenda wote watatu wale wa mbele kuwafata mabeki ipo ya pili anaenda mmoja ambaye huwa Ni Jesus huku Saka na Martinell wakiziba njia za mabeki kupiga pass

Hivo Man u lazima atatumia mipira mingi ya kupiga kugombania ,hapa tunatakiwa tuwe vzr kwenye 50/50 za Second ball kuziwin


Hakuna raha kucheza na man u inayomtumia Eriksen ,Bruno na winga zao ambazo hazikabi ,ndio maana game 2 zilizopita pamoja na kucheza na timu za kawaida ,man u amekuwa akikaa nyuma

Kwasababu Kuna watu wao sio wakimbiaji wanapopoteza mpira

Hii naiona Ni advantage kwetu kuitumia

Man u Bado wanakaba kwa individual ndio maana pamoja na kumleta Casemiro Bado wanajikuta wapo kwenye presha hata anapoingia

Arsenal tunakaba kwa structure nzima

MWISHO MAN U SILAHA YAKE KUU NI COUNTER ATTACK HANA KINGINE
 
Marefa Leo wamezingua kwenye matukio mengi

Rafu ya VVD
Goli la Kane
Goli la Westham
Goli la Villa

Hope itasaidia kesho marefa kuwa fair
 
Ben White is with the team in Manchester, along with Ødegaard, Zinchenko & Ramsdale. #afc
 
🗣Mikel Arteta kuhusu umuhimu wa kwenda kushinda Old Trafford:

"Sio jambo jipya. Tumelifanya, lazima tulifanye tena.”🔴
 
🚨 Full squad travelled to Manchester except Partey and Elneny. Reports, @samuelluckhurst.

✅Arsenal squad that has travelled for their fixture vs Manchester United: Ramsdale, Turner, White, Soares, Tomiyasu, Holding, Gabriel, Saliba, Marquinhos, Tierney, Zinchenko, Smith, Lokonga, Xhaka, Vieira, Saka, Odegaard, Smith Rowe, Martinelli, Jesus, Nketiah
 
Goli la villa ,referee kapuliza filimbi wachezaji wote wakasimama ,villa wakafunga ,
Iliwahi kutokea city dhid ya man u ,mahrez alifunga ,refa kapuliza akijua offside ,mahrez akafunga ,kwenda kwenye VAR kamba

Ile ya leo Villa wamedhulumiwa
 
Back
Top Bottom